NHIF yafuta Bima ya Afya kwa watoto "TOTO Afya Kadi". NHIF yadai hawajafuta ila wameboresha

NHIF yafuta Bima ya Afya kwa watoto "TOTO Afya Kadi". NHIF yadai hawajafuta ila wameboresha

Taarifa ya Mfuko wa Bima inasema Inafanya Maboresho lakini pia wazazi wanaweza kuendelea kuwasajili watoto wao kupitia mashuleni nk. lakini inatakiwa watu wajue mwarubaini wa haya yote yanayoonekana ni changamoto ni mfumo wa Bima ya afya kwa wote.

Huu ni Utaratibu mzuri sana, Serikali imechelewa mfumo wa bima ya afya kwa wote unatakiwa kuharakishwa kwani utakuwa ni mkombozi wa mambo mengi tunayoyaona ni gharama hivi sasa, tena tuleteeni Bima ya Afya kwa Wote TUPONE. Maisha yaendelee tuwe na uhakika wa Matibabu kabla ya kuugua.
Hivyo vifurushi bei umeziona? Zinaendana na maisha ya Mtanzania? Si kwamba watu hawataki kulipia huduma ila hawana kipato.
 
Mfuko haujaacha kusajili watoto na bima ya afya. Utaratibu wa kusajili watoto unaendelea kupitia familia au shule wanazosoma.
Tuache muvi za kidosi. Shule za Kayumba nani anaweza kumchangia mapema sh 50,400 ili kundi likusanye pesa nyingi zilipwe bima? Kwa nini mfuko isiwe tayari kupokea fedha ya mtoto sliye tayari kwa Sasa kuliko kusubiri kundi la watoto 800 sule ya msingi x
 
Hamieni Bima ya Afya ya Jubilee, Jubilee insurance inatoa bima ya Afya kwa wote inayoitwa Pamoja Afya, ambapo ina malipo ya bri nafuu sana.

Unaweza.kupata Bima ya mtu mzima mpaka miaka 70 na huduma za wagonhwa nasaa 24.

Kwa wale wa umri wa kuanzia miaka 5 hadi 70 unapata Bima yako kwa kiasi cha kuanzia
*261,000 kwa daraja la shaba,
*400,000 kwa daraja la dhahabu na *500,000 kwa daraja la Almasi.
Na unaweza kutibiwa kwenye hospital zaidi ya 200 nchi nzima.

Unapata Card yako ndani ya siku 5 za kazi, na pia unaweza kuanza kutumia kadu yako baada ya siku 30 (Mwezi mmoja).

Kwa maelekezo au uafafanuzi zaidi juu ya bima ya Afya inayotolewa na jubileevpamoja na.jinsi ya kujiunga,tafadhari wasiliana kwa number : 0752329591.

Karibuni
Wee nawe hebu tulia huko
 
Hayo maboresho yatatumia muda gani kukamilika?

Mmeshawafikiria maskini waliokuwa wanaona Hilo ndio kimbilio lao?

Mmeshindwaje kufanya maboresho huku huduma zinaendelea?
Ni wahuni tu. Wanachukulia poa watoto wao wanatibiwa wa wenzao wawasitishie huduma. Nonsense.
 
Wameepusha ubaguzi ... saivi kata familia tu ... watoto kwa 50,400 unapata huduma mpaka milioni 20, we ulisikia wapi duniani. Okoa mfuko
Still sio solution kwa sababu ya affordability, simply wangeongeza bei ya bidhaa zisizo lazima bia, sigara, na zifananazo kuwapa majority insurance cover
 
Fine, ila wa chuo na shule ni TZS.50,400/- unasemaje kuhusu umri nao ni under 18yrs?
Hivyo ni vifirushi viwili tofauti acha ubishi boss. Hiki ni kifurushi cha mwanafunzi kile ni toto afya ila bei zilikuwa sawa. Bei kuwa sawa haimaanishi ni kitu kimoja, sawa mkuu. Kifurushi cha mwanafunzi hakisubiri 3 months kama toto afya na hakijafutwa sema wamekiboresha kwakufanya wanafunzi wavyuo na sasa washule yaani primary na secondary kuingia kupitia shule na vyuo vyao.
 
Wameepusha ubaguzi ... saivi kata familia tu ... watoto kwa 50,400 unapata huduma mpaka milioni 20, we ulisikia wapi duniani. Okoa mfuko
mfuko umejaa wezi na wapigaji wa fedha za wananchi maskini..
 
Waharakishe hiyo bima ya afya kwa wote ndio utakuwa mkombozi bila hivyo halmashauri zitenge maeneo mengi kwa ajili ya makaburi, bila Serikali kuweka mkono wake kwenye huduma za afya kwa wananchi wake watu wengi tutakufa kwa kushindwa kumudu gharama za matibabu.
Sio wote, sema maskini
 
Wanywa bia lazima tupungue mwaka huu na nyumba za ibada zijae waumini. Kuna jamaa hapa kaanzisha mradi wa majeneza .Kufa kufaana kudadeki
 
Asanteni NHIF mi nimependa sana utaratibu wenu wa watoto kusajiliwa kupitia shule wanazosoma aisee hii imetulia kwanza mmetuondolea usumbufu wa kufuata hiyo huduma mjini sisi tuta dili na walimu wakuuu mashuleni kwetu
nawahurumia NHIF kukulipa mtu takataka Kama wewe, kwa propaganda za aina hii, utafikiri watu ni wajinga.
 
Back
Top Bottom