Jibu lako linaweza lisiwe sahihi sana. AGHA KHAN bei za za matibabu ziko juu sana ukilinganisha na hospitali nyingi achilia mbali za umma. Hivyo watu wengi waliokuwa wanatibiwa huko ni wale wa NHiF. Na kuna kamchezo ka kupandisha bei kwenye Bill zao. Hivyo kuwa kosa wateja wa NHiF ubaridi utawaingia kama si kutetemeka. No matter how big theirAghakani hawategemei Bima mzee
Wao waendelee kuhudumia hao wenye pesa na sisi tutaendelea kupatiwa huduma kwenye hospital za government ambazo tumezaliwa huko na zimetukuza mpaka sasa.Watu wa Bima wanapatiwa Huduma cheap sana Aghkani
Maybe unazungumzia Polyclinic
Those hospitals wanapata government subsides awawezi . Ni full private tuHata kairuki ,Bugando ,KCMC nk , hospitali zote za binafsi ndio tegemeo nchi hii , na wako mbioni kusitishwa kabisa hii huduma
Ndio kilio na kusaga meno vitafuata na majitu nchi hii akili zitaingia vizuri
Mbinyo bado haujakolea , Kenge huwa atoke damu masikioni
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Na miaka yote hiyo Watanzania wenye uwezo ndiyo walikuwa wanatibiwa Agha Khan siyo kapuku kama wewe!Wanategemea mkuu, angalia wateja wengi wanaotibiwa pale ni watu wa NHIF na matawi yao ambayo yapo kila sehemu hapa dar.
Kwani miaka yote hiyo watanzania walikuwa wanaotibiwa wapi ?
Kama una akili usingeshindwa kujua kwamba Agakhan ni chain hospitals ambapo zipo karibia kila pande ya nchi ,wale wanahudumia watu wenye uwezo wa kuhandle gharama kubwa , hizo huduma za bima kusitishwa ni kwamba kutakuwa na msongamano na tatizo kubwa la huduma katika hospitali nyingine za serikali , maana si Aghakan tu anayesitisha huduma ,hata vituo vya afya binafsi huko mitaani ni hivyo hivyoKwa what hospital agha khan , ukitoa ya Dar agha khan will fail else where
Mwisho wa siku atakayeumia na kusaga meno ni mtu wa maisha ya chini , na watz wengi hiyo bima ndio ilikuwa mkombozi waoKwa what hospital agha khan , ukitoa ya Dar agha khan will fail else where
AGAKHAN itakufa TANZANIA pekee!! hii hospitali ipo karibu kila nchi duniani,DAWA YA MOTO NI MOTO . AGHA KHAN ITAKUFA , wanachuo wote wanatibiwa in those hospitals . Let’s wait and see who wins.
They actually create a fear vacuum . If you act we act .
Taja ni kipimo gani kwanza?...usaidiwe...Sasa mfano Regency hospital pale ukipeleka mzazi kujifungua wanakwambia ulipie 90,000/=ya kipimo sijui kipimo gani ambacho hakipo kwenye bima na bima inatumika ,..
Wao wapo kwenye faida tu mbwa hao.
Nhif Walikuwa wanalipa pesa gani??Jibu lako linaweza lisiwe sahihi sana. AGHA KHAN bei za za matibabu ziko juu sana ukilinganisha na hospitali nyingi achilia mbali za umma. Hivyo watu wengi waliokuwa wanatibiwa huko ni wale wa NHiF. Na kuna kamchezo ka kupandisha bei kwenye Bill zao. Hivyo kuwa kosa wateja wa NHiF ubaridi utawaingia kama si kutetemeka. No matter how big their
Pitia mtandaon huko utaona wana miaka mingi tu hawakua wakipokea Bima za kina Ummy lkn pia 2022 hadi 2025 sidhan kama n miaka mitanoMkataba huwa unakuwa reniewed kila baada ya miaka mitano Mkuu walichokitaja ni Mkataba wa hivi karibuni..
Kwa mfano Kuna wabunge ambao wana miaka zaidi ya 20 Bungeni ila tukiwataja tutasema wameingia Bungeni miaka mitano iliyopita kulingana na uchaguzi ulipofanyika..
Sijui kama umenielewa
Waliomba 2021 wakapewa 2022 ambayo inaisha mwaka 2025..Pitia mtandaon huko utaona wana miaka mingi tu hawakua wakipokea Bima za kina Ummy lkn pia 2022 hadi 2025 sidhan kama n miaka mitano
Agha Khan haifi
Mimi siyo kapuku ningekuwa kapuku nisingekuwa hapa ,ina maana ningekosa hata pesa ya bando .Na miaka yote hiyo Watanzania wenye uwezo ndiyo walikuwa wanatibiwa Agha Khan siyo kapuku kama wewe!
'Walikuwa hawataki' wakati waliomba wenyewe kuwa watoa huduma. Au una maana nyingine mkuu?Watu wanaotumia NHIF ndio watakaoumia.....Hii bima ni takataka kitambo sana...
Isitoshe Agakhan walikuwa hawaitaki...Pole sana wanachama...
Hiyo sio miaka mitano , mkataba wa wapi unaanza kuhesabiwa kwenye barua ya maombi? But bottom line n kuwa walikua na miaka mingi tu nyuma huko, hata humu humu JF threads zipo hawakua wakipokea hiyo bimaWaliomba 2021 wakapewa 2022 ambayo inaisha mwaka 2025..
Nimewahi kutibiwa Aghakan Mwaka 2020 na mwaka 2021 kwakutumia Bima
Suala la kujiuliza ni kwamba, hizo hospital binafsi zikikwama au kufungwa ndipo huduma bora za afya nchini zitaboreka?Kwa what hospital agha khan , ukitoa ya Dar agha khan will fail else where
Huwezi shindana Na serikali Na ukashinda hakunaga kitu kama iko
Hii nchi watu wengi ni wapuuzi mkuuHizi ni akili za kijinga mzee, watu wanao endesha health facilities karibu 500 dunian huko unadhan unaweza kua na ujuz kuliko wao namna ya kuendesha wakat hata duka la dawa muhim hujawah endesha ?