Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Report mpya ya ukwasi wa mtu mmoja mmoja katika mataifa tofauti duniani imetoka ikionesha hali ya utajiri katika taifa.
Aidha report hii inaonesha ni kiasi gani cha fedha unapaswa kuwa nacho ili uingie kwenye country's millionaire club au uwe regarded as a wealth man au uwemo katika kundi dogo la juu kabisa la watu wenye ukwasi.
Katika jedwali kuna mataifa kadhaa na kiasi cha pesa in USD raia wa taifa hilo anapaswa kuwa nacho ili awe miongoni mwa kundi dogo la watu wenye utajiri wa juu kabisa.
Cha kushangaza ni kwamba kenya inashika mkia na unahitaji kuwa na dollars za Marekani 20k tu ili uwe mtu tajiri zaidi Kenya kwa maneno mengine ni million 40 za Kitanzania zinakufanya uwe katika 1% ya wakenya wenye utajiri wa kutisha ambao 98% ya wakenya wote wanatamani wawe kama wewe.