pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Yea na UK mabeberu ambao ndio wanaongoza kwa uwekezaji nchini Tz wanasurvive kwa neema zenu. [emoji106] Itakuwa najadiliana na mtu ambaye hata hawezi kuhesabu kutoka 1 hadi 100.Uwekezaji tunautaka sana tena sana sababu tunataka ajira, kodi, tozo na mzunguko mkubwa wa uchumi na Tanzania ni eneo linalovutia kwa uwekezaji sababu ya mazingira bora
Uchumi huu imara ndio unafanya ninyi wafa njaa muendelee kupumua na kuzaliana bila Tanzania, Kenya ingekua more failed state than what we experiencing now, yaani pamoja na hii hostility relation lakini bado Tanzania inaifanya Kenya itoke kimasomaso [emoji28][emoji28]
Wakenya kuwekeza nchini Tz haimaanishi kwamba mmetuzidi kwenye kuwavutia wawekezaji au kwenye mazingira mazuri ya kibiashara. Kama unazo takwimu za ukanda huu kuhusu suala hilo zilete humu uaibike bure. Wawekezaji wanafata faida ya haraka haraka jombaa, hela zao hawazileti kama misaada, acha kutumia akili za vijijini.