Ni 1% tu ya Wakenya wanaoweza kumiliki Milioni 40 za Kitanzania

Ni 1% tu ya Wakenya wanaoweza kumiliki Milioni 40 za Kitanzania

Kusema ukweli mara nyingi sisi Watanzania ambao tunapost hii Forum kutaka kujitanabaisha kuwa tupo vizuri kuliko Kenya huwa tuko na ujinga mwingi sana.

Yani hatuna hata common sense. Kenya inaweza isiwe na billionaires au millionaires wengi kama Tanzania lakini distribution ya wealth kwao ikawa kubwa kuliko Tanzania (Yani gap kati ya the haves and the have nots ni ndogo kwao kulinganisha na Tanzania). Sasa hapo ni nchi gani inakuwa maskini?

Kwanini tubishane bila kutumia akili?
 
Kusema ukweli mara nyingi sisi Watanzania ambao tunapost hii Forum kutaka kujitanabaisha kuwa tupo vizuri kuliko Kenya huwa tuko na ujinga mwingi sana.

Yani hatuna hata common sense. Kenya inaweza isiwe na billionaires au millionaires wengi kama Tanzania lakini distribution ya wealth kwao ikawa kubwa kuliko Tanzania (Yani gap kati ya the haves and the have nots ni ndogo kwao kulinganisha na Tanzania). Sasa hapo ni nchi gani inakuwa maskini?

Kwanini tubishane bila kutumia akili?
Kakae na Nyumbu wenzako kule ulikozoea huku hakukufai
 
Distribution of wealth kati ya TZ na KE ni wapi iko juu? Tuanzie hapo.
EbBVgoWWAAAD3EP-1.jpg
 
😅😅😅 Report imeanza na wa kichwani na kumaliza na wa matakoni, isingewezekana nchi zote ziwe featured hapo 😅😅😅
I always thought you are one of the few sober Tanzanians in this forum kumbe I have always been wrong. Did you even read the report to make an informed contribution on this topic? The report lists leading countries in their respective continents.

Argentina leads in South America, Singapore leads in Asia, while South Africa leads the African continent with Nigeria and Kenya coming in second and third places respectively.

In that respect, the fact that Kenya has been named ahead of your country should tell you something. But because you are a bongolala, you won't be able to understand anything. Take your time, read the report and grasp at least something before displaying bare your ignorance
 
Nazungumza kuhusu faida wanazopata wawekezaji wa Kenya nchini Tz, hata kiswahili pia kinakukanganya? [emoji1] Eti remittance ni utegemezi? Wakenya wanafanya kazi kila kona duniani na hela wanazozituma nyumbani ni kwa faida yao , kwa njia zaidi ya moja, kimaendeleo, sio kwa matumizi tu ya kawaida ya wanaotumiwa.

Jombaa, unasoma kweli unachoandika kabla ya kupost? Alafu imekuaje ukaanza kuruka ruka bila formular, au ndio umeangukia pua vibaya kwenye mada yako uliotupia hapo juu kwenye uzi huu? [emoji41]
Kitu huyu kilaza haelewi ni kwamba asimilimia kubwa ya hizi remmittance zinaenda kwenye uwekezaji (investment) mostly in real estate wala sio kusupport everyday life as he implies . Unapoona mtu anazungumzia swala ambalo hata haelewi anafaa kupuuzwa tu.
 
20k ndio bottom line bro, kima cha mama mboga huku 😅😅
20k dollars ni kima cha mama mboga Tanzania?? 😂 😂 Na iweje mnaongoza kwa umasikini ukanda huu Kama unachosema ni kweli?
 
20k ni tajiri wa wapi hata vx v8 hupati 😅😅😅
Kwa hivyo kuwa na V8 ndio kigezo cha kutathmini utajiri wa mtu? I know so many people who V8 vehicles but are not considered rich
 
Ni economy law that the more billionaires the higher the millionaires

Eti wenye billionaire wawe na millionaires wachache kuliko wasio na billionaires, we kweli kichaa 😅😅😅
Hivyo ndivyo ulifundishwa Mwananyamala primary? 😂
 
Back
Top Bottom