Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Kusema ukweli mara nyingi sisi Watanzania ambao tunapost hii Forum kutaka kujitanabaisha kuwa tupo vizuri kuliko Kenya huwa tuko na ujinga mwingi sana.
Yani hatuna hata common sense. Kenya inaweza isiwe na billionaires au millionaires wengi kama Tanzania lakini distribution ya wealth kwao ikawa kubwa kuliko Tanzania (Yani gap kati ya the haves and the have nots ni ndogo kwao kulinganisha na Tanzania). Sasa hapo ni nchi gani inakuwa maskini?
Kwanini tubishane bila kutumia akili?