Ni 1% tu ya Wakenya wanaoweza kumiliki Milioni 40 za Kitanzania

Ni 1% tu ya Wakenya wanaoweza kumiliki Milioni 40 za Kitanzania

Wacha kudemka mama, maisha yanakuchapa huko njoo huku uwe house keeper au barmaid kwenye mahotel yetu uchangamke na remittance ukomboe family yenu inayotafunwa na funza πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
I don't think u are normal.Yaani wewe kwa ufupi ni shortwire
 
Jana nilikuwa nawaambia kuwa Kenya iko juu yenu juu ilitoka kwa hiyo list. Hiyo ni list ya matajiri pekee, sio watu wenye wamejazwa na umaskini kama watanzania.
20k ni tajiri wa wapi hata vx v8 hupati πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Ni economy law that the more billionaires the higher the millionaires

Eti wenye billionaire wawe na millionaires wachache kuliko wasio na billionaires, we kweli kichaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Uko na reasoning ya kitoto Sana. Kwani huyo mwenye billions atakuwa anagawia watu pesa zake hili wawe millionaires wengi? Now I understand why your government said that Tanzanians use 1% of their brain to reason.

tapatalk_1619022093583.png
tapatalk_1619023730777.png
 
East African countries are home to a growing list of wealthy individuals, with Tanzania topping the region in creating dollar millionaires.

The Wealth Report 2020 by real estate consultancy firm Knight Frank shows that Tanzania is the only country in the region to have produced a single individual controlling a net wealth of $1 billion or more, with the number of ultra-high-net-worth individuals (UHNWIs) holding $30 million or more worth of assets including their primary residence rising five per cent to 114 last year, from 109 in 2018.
Leta report from 2010 till 2021,
 
Ukisha maliza kukenua kenua kisa umeona jina la Kenya, S.Africa na Nigeria kwenye graph soma ripoti yote kikamilifu. Nchi zilizotajwa ndio zinaongoza kwenye bara na kanda zao kwa wingi wa $ anazofaa kumiliki mtu binafsi ili ajiunge na hiyo 1% 'club' ya matajiri. Inamaana kwamba 1% ya watanzania hata hiyo $20,000(46,380,000tzshs) kama za 1% ya wakenya, hawazioni. Haya basi, sasa anza kuimba ile chorus yenu pendwa ya kuhujumiwa na mabeberu. [emoji1] How much wealth gets you into the global top 1%?

Ungeyasubiri yademke kama kurasa tano hivi ndio uje kuwaumbua, elimu ya hovyoo sana hawa.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Wakati millionaires wa Kenya wanamiliki 20k ya probox 2?
Hehehe kweli ujinga ni kazi ngumu kweli, kwani hata huelewi thread yakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£. Wakati bado unapoesha kidonda tafadhali jifurahishe na hii.

2750821_tapatalk_1619022093583.png

tapatalk_1619023730777.png


tapatalk_1619022093583.png
 
Back
Top Bottom