Ni 1% tu ya Wakenya wanaoweza kumiliki Milioni 40 za Kitanzania

Ni 1% tu ya Wakenya wanaoweza kumiliki Milioni 40 za Kitanzania

Ukiona wameanza kupost Kibera jua wameumbuliwa. That is always their fallback plan, very predictable. 🀣 🀣 🀣
WB ndio wanasema wakenya million 4 wametupwa kwenye ufukara wa kuliwa na jiggers sio kibera πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Okay nimegundua hapa napoteza muda kubishana na mtu ambae either huna akili au huna elimu au una elimu ila haikusaiidii.

Nikikuambia distribution of wealth unaelewa nini kwani?
Kamuulize mbowe
 
I always thought you are one of the few sober Tanzanians in this forum kumbe I have always been wrong. Did you even read the report to make an informed contribution on this topic? The report lists leading countries in their respective continents.

Argentina leads in South America, Singapore leads in Asia, while South Africa leads the African continent with Nigeria and Kenya coming in second and third places respectively.

In that respect, the fact that Kenya has been named ahead of your country should tell you something. But because you are a bongolala, you won't be able to understand anything. Take your time, read the report and grasp at least something before displaying bare your ignorance
Hili jarida lako halitasaidia Kenya kutotegemea Tanzania kwa remittance abadan πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Uchumi wenu wa miraaa 20k tayari ni tycoon πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hata Burundi wapo juu 🀣

Screenshot_20210423-043209.png
 
Nazungumza kuhusu faida wanazopata wawekezaji wa Kenya nchini Tz, hata kiswahili pia kinakukanganya? [emoji1] Eti remittance ni utegemezi? Wakenya wanafanya kazi kila kona duniani na hela wanazozituma nyumbani ni kwa faida yao , kwa njia zaidi ya moja, kimaendeleo, sio kwa matumizi tu ya kawaida ya wanaotumiwa.

Jombaa, unasoma kweli unachoandika kabla ya kupost? Alafu imekuaje ukaanza kuruka ruka bila formular, au ndio umeangukia pua vibaya kwenye mada yako uliotupia hapo juu kwenye uzi huu? [emoji41]

Kama siyo utegemezi, Nyie Kenya mna remittance kiasi gani kwenda USA na China??
Naton Jr
 
Kama siyo utegemezi, Nyie Kenya mna remittance kiasi gani kwenda USA na China??
Naton Jr
Akikujibu hilo kweli yeye kilaza

Hawajui remittance ni vihela vidogovidogo vinavyotumwa individually to different individuals, walivyo vilaza wanatafsiri eti ni faida ya companies za Kenya Tanzania, elimu yao mbovu sana ndio maana yamezubaa na tegemezi
 
Screenshot_20200921-194050_1600706489463_1601045771335.jpg
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Hiki kilio hakisaidii Kenya kutotegemea Tanzania Tanzania kwa remittance
Remittance ya $10M mnapigia kelele wakati watanzania wategemea $143M from Kenya in remittance πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

2751700_Screenshot_20210424-090604.png
 
Akikujibu hilo kweli yeye kilaza

Hawajui remittance ni vihela vidogovidogo vinavyotumwa individually to different individuals, walivyo vilaza wanatafsiri eti ni faida ya companies za Kenya Tanzania, elimu yao mbovu sana ndio maana yamezubaa na tegemezi
Sasa mnapiga kelele juu ya $10M that came from Tz wakati $143M crossed to Ta from KenyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

2751700_Screenshot_20210424-090604.png
 
Hili jarida lako halitasaidia Kenya kutotegemea Tanzania kwa remittance abadan πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Uchumi wenu wa miraaa 20k tayari ni tycoon πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hata Burundi wapo juu 🀣

View attachment 1762272
Wapi Burundi kwenye hiyo list?

Wewe kweli ni bongolala. Shida ni kwamba kizungu ni kizungumkuti kwenu. Hamuelewi chochote kimeandikwa kwa kizungu/kiingereza so we understand you people. Endelea kujifurahisha
 
Sasa mnapiga kelele juu ya $10M that came from Tz wakati $143M crossed to Ta from KenyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

View attachment 1762321
Hawa viumbe wa south wanachekesha sana. Yani wanatoa povu na hawajui hali halisi ya nchi yao. They couldn't even do a simple Google Search to see the leading source of their remittance. Hawa watarevuka lini?
 
Na imagine remittance enye wanapigia kelele ni Ksh 1B pekee.
 
Wapi Burundi kwenye hiyo list?

Wewe kweli ni bongolala. Shida ni kwamba kizungu ni kizungumkuti kwenu. Hamuelewi chochote kimeandikwa kwa kizungu/kiingereza so we understand you people. Endelea kujifurahisha
Ninyi ndio mashika mikia fukara za mwisho duniani ambao wakiwa na 20k tu tayari ni tycoons 🀣🀣🀣

Uchumi wa visheti huu wallahi 😜
 
Ninyi ndio mashika mikia fukara za mwisho duniani ambao wakiwa na 20k tu tayari ni tycoons 🀣🀣🀣

Uchumi wa visheti huu wallahi 😜
Mafukara ukanda huu wanajulikana tena hamna mpinzani. Mumewakilisha vizuri sana kwenye nafasi ya tatu bora πŸ˜‚
PhotoGrid_1605162481588.jpg
 
Umasikini Afrika umekidhiri kwa muda mrefu na badala ya kusaidiana vile tutabadilisha Bars hilo leti Kazi hapa ni kuchekana yani Masikini anamcheka Masikini Mwenzake.
Inafaa tuwe tunawaza vile tutafanya Kazi pamoja Wakenya na watanzania kusaidia mwananchi kupata basic needs ambazo ni nadra kwa Nchi zote mbili.
 
Back
Top Bottom