Ni 1% tu ya Wakenya wanaoweza kumiliki Milioni 40 za Kitanzania

Remittance ni utegemezi tena uvivu na kukosa akili na maarifa, mijitu imekaa tu haijushughulishi na chochote inategemea manamba wa muarab huko Gulf apigike kusugua masafuria kisha atume nyumbani chochote

Ili kujua remittance ni utegemezi Kenya ni fact kwamba remittance ndio leading forex channel into Kenyas economy

Yaani hiyo Chai yenu sijui parachichi kahawa, utalii na makorokocho yote hakuna hata 1 inayoipita remittance kuingiza pesa nyingi za kigeni

Maana yake ni kwamba wakenya less than 2% wanaoishi abroad wanafanya kazi kubwa sana kuliko wakenya zaidi ya million 48 waliopo nchini katika kuzalisha forex money

Hii ni ishara ya ufukara wa akili na maarifa ni Mexico na Colombia pia ndio yenye hii sifa kutokana na kuwa ndio source kubwa ya housemaids wa US

SHAME
[emoji23][emoji23][emoji23]Umemchapa za matakle
 
Mzee remittance sio profit

Remittance ni kipimo cha utegemezi kutoka kwa sender kwenda kwa receiver, unatuma pesa nyumbani sababu wa nyumbani wana shida sana na ni mafukara hawana any local means to survive ndio maana wanahitaji the helping hand

Tanzania donor country ukanda huu 😅😅😅
[emoji23][emoji23][emoji23]Umemchapa za matakle
The problem is that we have so many "economists" in the house hadi hewa inachafuliwa. Where did you read that countries that receive remittances are poor, desperate and lazy? In 2018 for instance, India and China were the leading countries in the world that received the most remittance from abroad. Is Tanzania better off than India or China? Does India and China have more poor people (percentage-wise) than Tanzania? If China is lazy because it receives remittance from above, how comes it is a developed and industrialised country? How did laziness allow then to achieve all these?

Hata hapa Africa, Egypt leads in receiving remittance from abroad. Is Tanzania better than Egypt in anything? Ujamaa iliwadumaza akili kabisa hamjabakisha hata ya kufikiria!

images.png
 
View attachment 1764203
LOL India inauza nje total export value of 350 billion dollars, China 1.6 trillion dollars

Kenya hakuna export value yoyote inayoifikia remittance 😅😅😅 ambayo nyingi inatoka Tanzania 🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Umemchapa za matakle
😅😅😅 Haya mamburura tatizo akili hayana, hapo nimetwanga maji kwenye kinu, malnutrition imewaathiri sana sababu ya njaa toka utotoni 😅😅
 
LOL India inauza nje total export value of 350 billion dollars, China 1.6 trillion dollars

Kenya hakuna export value yoyote inayoifikia remittance 😅😅😅 ambayo nyingi inatoka Tanzania 🤣
Look at how you've changed the topic. Usharuka Kutoka topic of discussion ambayo ni remittance hadi export value after nimekupa za uso. Sasa tuzungumzie nini bongolala? Export value ama remittance?

And just to make things clear, hili swala la remittance uliileta wewe mwenyewe baada ya kuzidiwa kwenye uzi wako ambayo hoja yake ni kiasi gani cha pesa wakenya wanafaa kuwa nayo ili kujiunga na kikundi cha 1% of the wealthiest people. Baada ya kushindwa kutetea hoja yako, ukaanza kelele za remittance which has nothing to do with the topic of discussion. If you know you can't defend your own motion, why open a thread?
 
sijui wakenya mkiona ela ya kenyata mnachukulia nanyie mnazo kisa mkikuyu mwenzenu
Na nyie mkiona hela ya Dweji mnachukulia ni nyie pia ma billionares kisa ni m'Tz mwenzenu???😂 😂 😂
 
The problem is that we have so many "economists" in the house hadi hewa inachafuliwa. Where did you read that countries that receive remittances are poor, desperate and lazy? In 2018 for instance, India and China were the leading countries in the world that received the most remittance from abroad. Is Tanzania better off than India or China? Does India and China have more poor people (percentage-wise) than Tanzania? If China is lazy because it receives remittance from above, how comes it is a developed and industrialised country? How did laziness allow then to achieve all these?

Hata hapa Africa, Egypt leads in receiving remittance from abroad. Is Tanzania better than Egypt in anything? Ujamaa iliwadumaza akili kabisa hamjabakisha hata ya kufikiria!

View attachment 1764203
Na bado hawawafiki hata robo! 🤣 🤣 🤣
 
The report also shows that the number of Tanzanian high-net-worth individuals (HNWI) with $1 million or more worth of assets including their primary residence rose eight per cent to 5,553 from 5,118 over the same period.

In Kenya the number of HNWI declined 15 per cent to 2,900 from 3,399, while the number of UHNWIs declined by 13 per cent to 42 from 48 individuals.

In Uganda, the number of HNWI declined by six per cent to 137 in 2019 from 146 in 2018 while the number of UHNWIs remained unchanged at five individuals.
 
Yea na UK mabeberu ambao ndio wanaongoza kwa uwekezaji nchini Tz wanasurvive kwa neema zenu. [emoji106] Itakuwa najadiliana na mtu ambaye hata hawezi kuhesabu kutoka 1 hadi 100.

Wakenya kuwekeza nchini Tz haimaanishi kwamba mmetuzidi kwenye kuwavutia wawekezaji au kwenye mazingira mazuri ya kibiashara. Kama unazo takwimu za ukanda huu kuhusu suala hilo zilete humu uaibike bure. Wawekezaji wanafata faida ya haraka haraka jombaa, hela zao hawazileti kama misaada, acha kutumia akili za vijijini.
Sio wabantu. Ni Wahindi wa Kenya ndio wanao wekeza. Na wengi wao wanatoroka Kenya kwa sababu ya usalama. Wabantu atuwataki, wanatafuta viwanja na mashamba.
 
Kuna cku nilikuwa nasafari ya kwenda mombasa kutokea Dar....nilikuwa natumia gari ndogo Noah.
Nilienda petrol station kujaza mafuta nikatumia 150k mafuta yakajaa full tank.
Nilipokuwa mombasa kenya nilitumia almost 180K za tanzania kujaza fuul tank. Kwa tathmini ya harakaharaka ni wapi kuna uchumi na maisha mazuri? Na ni pesa ipi ina thamani? Uwingi au uchache wa masifuri sioni kama ni kigezo kwa sababu kwa mfano pesa ya japan na china ziko chini ukilinganisha na pesa ya kenya, but swali linabaki palepale ni wapi pesa ile le inamsaidia mtu kupata mahitaji yake kwa urahisi?
 
Pesa ya Kenya ina sifuri chache, thamani yake ndogo.
 
Akili fupi😂😂😂😂😂 pesa yenyu ndio haina value., kwa masikini vitu lazima ziwe bei rahisi😂😂😂. fuatilia Uganda, Burundi, Malawi etc., Size yenyu masikini wa karne hii
 
Hahaha nilijua ni msaaada wa chakula na budget ya Serikali tu ndio mnasaidiwa 😅😅😅

Sijajua kumbe mpaka mikopo ya wanafunzi wa vyuo na yenyewe ni msaaada kutoka abroad 😅😅😅

Sasa ninyi mafukara ni kipi mtafanya kwa kutumia uwezo wenu binafsi?

Chakula mnsaidiwa
Budget 99% msaaada
Elimu msaaada

Kuna cku nilikuwa nasafari ya kwenda mombasa kutokea Dar....nilikuwa natumia gari ndogo Noah.
Nilienda petrol station kujaza mafuta nikatumia 150k mafuta yakajaa full tank.
Nilipokuwa mombasa kenya nilitumia almost 180K za tanzania kujaza fuul tank. Kwa tathmini ya harakaharaka ni wapi kuna uchumi na maisha mazuri? Na ni pesa ipi ina thamani? Uwingi au uchache wa masifuri sioni kama ni kigezo kwa sababu kwa mfano pesa ya japan na china ziko chini ukilinganisha na pesa ya kenya, but swali linabaki palepale ni wapi pesa ile le inamsaidia mtu kupata mahitaji yake kwa urahisi?
Means nchi yako Ni maskini,
Ukitoka nje kwa serious countries izo pesa zenu Ni karatasi
 
Back
Top Bottom