Aliye hutubia Leo kwenye nane naneJiwe yupi? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Duh?Aliye hutubia Leo kwenye nane nane
Niekekeze hapaNjoo nikupe dawa.
Jifunze ukatili, unaonekana wewe mpole ndiyo maana unalialia.Niekekeze hapa
Sigara addiction yake nomaa..[emoji23][emoji119]Embassy Cigarate
Nilikuwa na addiction ya kunywa Coca-Cola...bosi wangu alinipiga beat.. kila asubuhi ananinywesha lita moja na nusu ya maji, jioni kabla ya kuondoka ananipa pita moja Kwa mwezi mzima. Nikaacha kabisa sasa hivi ni muumini wa kunywa maji hatari..Aisee kwenye maisha kuna mambo ukizoea kuyafanya baadae yanageuka tabia, yanageuka hulka na mwenendo wa maisha.. *Addiction* ni moja ya vitu vigumu sana kuvikimbia..
Mimi hulka ya kunywa soda kila mara nimeshindwa kabisa kuiacha..
Hebu tuambie addiction yako ni ipi ???pengine tutasaidiana kuziacha..
Nitajaribu mkuuJifunze ukatili, unaonekana wewe mpole ndiyo maana unalialia.
Jifunze roho mbaya, anza kuonesha roho mbaya kwa majirani kisha mtaa mzima.Nitajaribu mkuu
Hivi wewe unaweza kunywa maji kunizidi? Sidhani kama kuna kiumbe kwa sasa anakunywa maji Tanzania kama mimi.Nilikuwa na addiction ya kunywa Coca-Cola...bosi wangu alinipiga beat.. kila asubuhi ananinywesha lita moja na nusu ya maji, jioni kabla ya kuondoka ananipa pita moja Kwa mwezi mzima. Nikaacha kabisa sasa hivi ni muumini wa kunywa maji hatari..
Anza taratibu...utaacha
Mmeanza kua marejeta au sio!Hivi wewe unaweza kunywa maji kunizidi? Sidhani kama kuna kiumbe kwa sasa anakunywa maji Tanzania kama mimi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] No ila mimi situmii kinywaji chochote isipokuwa maji na huwa nayapiga kweli.Mmeanza kua marejeta au sio!
Hilo pepo pia linanitesa sana haswa kichwa kikipata moto au nikiwa viti virefu.Embassy Cigarate
Hahaha umekua rejeta sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] No ila mimi situmii kinywaji chochote isipokuwa maji na huwa nayapiga kweli.
Huwa nagonga lita 7+ kwa siku muda mwingine nikiwa nimetulia navuta hadi 10.Hahaha umekua rejeta sasa
Hivi wewe unaweza kunywa maji kunizidi? Sidhani kama kuna kiumbe kwa sasa anakunywa maji Tanzania kama mimi.