Ni addiction gani imekushinda kuiacha??

Ni addiction gani imekushinda kuiacha??

Mkuu nataman sana kujua kupiga piano ila sjui pa kuanzia
Addiction yangu kuplay piano ma kusikiza music hususani ngoma za gospel kina travis green jonathan mcreynolds jonathan butler jj hairstone marvin sapp hillsong nk
 
Aisee kwenye maisha kuna mambo ukizoea kuyafanya baadae yanageuka tabia, yanageuka hulka na mwenendo wa maisha.. *Addiction* ni moja ya vitu vigumu sana kuvikimbia..

Mimi hulka ya kunywa soda kila mara nimeshindwa kabisa kuiacha..

Hebu tuambie addiction yako ni ipi ???pengine tutasaidiana kuziacha..
Nilikuwa na addiction ya kunywa Coca-Cola...bosi wangu alinipiga beat.. kila asubuhi ananinywesha lita moja na nusu ya maji, jioni kabla ya kuondoka ananipa pita moja Kwa mwezi mzima. Nikaacha kabisa sasa hivi ni muumini wa kunywa maji hatari..

Anza taratibu...utaacha
 
Hivi wewe unaweza kunywa maji kunizidi? Sidhani kama kuna kiumbe kwa sasa anakunywa maji Tanzania kama mimi.
 
Kuongea ukweli aisee yaani mi cjui kabsa kudanganya,
Mpaka najihurumia maana sometimes kuna vitu nakosa sababu ya kuongea ukweli
 
Back
Top Bottom