Hahahahahahahaha noo yaani asipopokea huwa naona ananidharau na Mimi kunidharau napinga kwa nguvu zoteHahaha huo wako ni wivu best punguza [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Halafu wanaume wengi hawapendi hasira za hivyoNajitahidi tu Mungu anisaidie maana dooh
Najitahidi tu Mungu anisaidie maana dooh
Sio dharau pengine ubizze wa kazi, I wish niwe nakaa nawe ningekuwa napoza hasira zako kwa ushauri.Hahahahahahahaha noo yaani asipopokea huwa naona ananidharau na Mimi kunidharau napinga kwa nguvu zote
Sisi wafupi hatupendi dharau
Mpira naupenda ila sio addiction yanguUmesahau mpira, hasa ule wa draft kama wa arsenal na barca
Hahahahaha nitajitahidi kujicontrolSio dharau pengine ubizze wa kazi, I wish niwe nakaa nawe ningekuwa napoza hasira zako kwa ushauri.
Duh sasa hayo maji nayaweka mdomoni huku nahesesabu au?
Mungu akujalie best ushinde huyo ibilisiHahahahaha nitajitahidi kujicontrol
AmenMungu akujalie best ushinde huyo ibilisi
Oooh sawa nitafanya hivyoHahahahaha hapana au unakunywa maji au unahesabu dhumuni hasa ni kujizuia kumkoromea mtu.[emoji41]
Mpira naupenda ila sio addiction yangu
Jitahidi kutoweka nguvu zote kwa mtu mmoja utakua unaumia kila siku...asipopokea assume yupo busy au ndo tutakupotezea kabisaHahahahahahahaha noo yaani asipopokea huwa naona ananidharau na Mimi kunidharau napinga kwa nguvu zote
Sisi wafupi hatupendi dharau
Kwahiyo unanishauri nitafute na kidumu pembeni?Jitahidi kutoweka nguvu zote kwa mtu mmoja utakua unaumia kila siku...asipopokea assume yupo busy au ndo tutakupotezea kabisa
Dah basi bwanako anaenjoy sana...upo chuo nn?Need For Speed Most Wanted
Mapenzi ni kama mizani hakikisha unakua neutral....kwan hauna mafiga kwa umri huo mkuu?Kwahiyo unanishauri nitafute na kidumu pembeni?
Dah basi bwanako anaenjoy sana...upo chuo nn?
Hahahaha duh sawa bwanaMapenzi ni kama mizani hakikisha unakua neutral....kwan hauna mafiga kwa umri huo mkuu?
nina tatizo na hili lisimu kuna muda liko poa ila nitahkaririMkuu tulia uandike vizuri nikuelewe...
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ikanyage.nina tatizo na hili lisimu kuna muda liko poa ila nitahkariri