Ni addiction gani imekushinda kuiacha??

Ni addiction gani imekushinda kuiacha??

Hahaha huo wako ni wivu best punguza [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahahahahahaha noo yaani asipopokea huwa naona ananidharau na Mimi kunidharau napinga kwa nguvu zote

Sisi wafupi hatupendi dharau
 
Sio dharau pengine ubizze wa kazi, I wish niwe nakaa nawe ningekuwa napoza hasira zako kwa ushauri.
 
Hahahahahahahaha noo yaani asipopokea huwa naona ananidharau na Mimi kunidharau napinga kwa nguvu zote

Sisi wafupi hatupendi dharau
Jitahidi kutoweka nguvu zote kwa mtu mmoja utakua unaumia kila siku...asipopokea assume yupo busy au ndo tutakupotezea kabisa
 
Kwahiyo unanishauri nitafute na kidumu pembeni?
 
Back
Top Bottom