Ni Addiction (Uraibu) gani umeshindwa kuacha licha ya kujaribu mara kwa mara?

Ni Addiction (Uraibu) gani umeshindwa kuacha licha ya kujaribu mara kwa mara?

Hatari sana mkuu..hope unakunywa weekly instead of daily.

Yani 24/7 mkuu naepuka sana kulewa though, km ss hv nipo job nanyonya kwa kujificha though, yani roho inashinda mwili trying though sijui lini ntafaulu

Just imagine mkuu naachaje hii kitu?


 
(Skanka) LIFE IS SHORT ENJOY TO THE FULLEST
1781375200272.jpg
 
Back
Top Bottom