Hahaa aiseee,kula maisha mzee
Kunusa chupi za wadadaHabari wana jamvi
Duniani kumekuwa na kila aina ya mambo yanayo msonga mwanadamu.
Je ni Uraibu gani umekushinda kuacha licha ya kupambana?
Sakwe bin sakwe
Binadamu mashaka
Pole sana mkuuAsee kama kungekuwa na dawa ya kuacha kamari(betting) ningaliitafuta kwa namna yoyote, imenifikisha mahali sikutarajia nimepoteza pesa nyingi sana na muda mwingi isingekuwa kamari ningekuwa mbali sana coz inaharibu mfumo wote wa maisha
Madhara gani?Simuuuuu, internet uuuuwi af inaniletea madhara
Mi bado SijaelewaNadhani mmeelewa 😌 Evelyn Salt win-one naa binti kiziwi Shadeeya Pumpkin girl Joanah
View attachment 3616786
unapenda mitako si ndio😂😂😂😂Nadhani mmeelewa 😌 Evelyn Salt win-one naa binti kiziwi Shadeeya Pumpkin girl Joanah
View attachment 3616786
Humalizi wiki mkuuMtihani mkubwa mkuu, tried n tried n tried najikuta not more than 3 days🙁🙁🙁
Unapenda MakeboNadhani mmeelewa 😌 Evelyn Salt win-one naa binti kiziwi Shadeeya Pumpkin girl Joanah
View attachment 3616786
Humalizi wiki mkuu
Sahihi mkuu..kikubwa kucheki tu pressure na sukari mara kwa mara..maana hayo magonjwa hupendelea mnoo kwa wenye hizo life style..hasa ukiwa umri wa kuelekea 50Yani roho inataka lakini mwili ni dhaifu, ntasema ngoja nipige kdg tu niondoe wenge, dah hapo kama kazini siendi inakuwa ndio imenzishwa yani, kitakachofuata ni kuandaa ubavu wa mbuzi kusindikizia tu, nasema ah potelea mbali nimelinda afya, maisha yenyewe ndo hayahaya. 😀😀😀😀
Baada ya hapo majaribio mengine baada ya mwezi au nikikumbuka tena🙁
Tumeelewa na tunakuahidi yatakushinda 😂Nadhani mmeelewa 😌 Evelyn Salt win-one naa binti kiziwi Shadeeya Pumpkin girl Joanah
View attachment 3616786