Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,641
Unakuta unasafiri Umbali mrefu sana kama wa kutoka Mkoani Dar es Salaam na kwenda zako Mkoani Kigoma halafu unajikuta umekaa Siti moja na Abiria ambaye huwa ana tabia zake za Kipuuzi Kipuuzi tu ambapo Usingizi ukimshika atakuegamia na kuanza Kukulalia na hapo hapo akikulalia ataanza Kukutolea Miudenda yake na Valvu yake ya Matakoni itaachia na atakujambia vilevile.
Je, Mzukulu nikikutana na Abiria Mpuuzi Mpuuzi kama huyu nikimpa Adhabu moja kati ya hizi nitakuwa namkosea au namuonea?
1. Nikiona amenilalia tu namwacha Usingizi umkolee kabisa kisha nafyatuka haraka ili ajigonge katika Siti ya mbele aumie akome
2. Nikiona amenilalia tu na kaanza Kunitolea Maudenda (Mate) yako nivumilie na tukifika sehemu ya Kula anifulie Nguo yangu
3. Nikiona amenilalia tu kwa Kuniegemea, Kunidondoshea Maudenda yake na Kunijambia nimzabe Kofi/ Kibao kimoja takatifu
Tafadhalini nichagulieni Adhabu moja tu hapo juu kwani nahisi Siku si nyingi nitasafiri Safari ndefu na najua haya Mauzauza nitakutana nayo tena.