Mnyenz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 2,933
- 8,112
yaani siku ile ilikua nipigwe mpaka nife na yule mwamba, ila kilichonisaidia alikua kafunga mkanda, hivyo alipojaribu kuinuka mkanda ukamzuia, mie kuona hivyo kama umeme fastaaa nikakimbia mpaka kule mbele kwa dereva, halafu abiria wengine wakamzuia.Hahaaaa....aseee nimecheka kufa
Kwa kuwa mimi nilikua naenda dar na yeye anashukia msamvu, tulipofika pale msamvu, mimi nikaanza kushushwa kwanza, nikapelekwa kwa wale trafiki wa pale getini ili wanipe ulinzi binafsi, jamaa akashuka then ndo nikapanda.
Huyo mwamba kama yumo humu jf i'm sorry mwamba(ila ulishika dudu langu hahaaaaa)