Kima nyie mkichimba dawa msituni mnaweka wapi haja zenu mnajifanya wastaarabu kumbe mnatembea na vinyesi tumboniHata Mimi hapo tu aliposema kuwa huwa anakojoa katika Kopo na Kulitupa nje dirishani amenifanya si tu nimpuuze bali hadi nimdharau kabisa pia.
Ulitaka niandike uwazavyo?sahauUpuuzi wako uliotuandikia wa kupenda Kunywa Mipombe yako na Kukojoa katika Makopo na Kutupa Dirishani unautetea kwa Hoja za Kipumbavu.
Haya mambo ya usafiri yanakera sanaNdugu yangu hii Comment yako imenivunja mbavu hadi kila mara nikiirejea Kuisoma najikuta naangua Kicheko. Umenianzishia Siku kwa Furaha.
😂😂😂😂Mimi kuna lijamaa nilipanda nalo basi, kwanza likafosi kukaa dirishani nikaona poa haina shida.
Huyu bwege alikua analala mpaka anakoroma, ubaya akilala ananiegemea, ikawa kila likinilalia nalistua linaamka, linakaa kama dk5 linalala tena, nikaona isiwe taabu, nikaliacha likalala mpaka usingizi ukalikolea kweli kweli.
Nilipohakikisha liko ndotoni nikaliseti vizuri likalala mapajani kwangu(muda huo niliichezea dushe ikawa wima kama mlingoti) kisha kiutaratiiibu nikalishikisha dushe halafu nikajifanya na mie nimelala.
Abiria wa pembeni walipoona wakastuana wakaanza kuangalia huku wanacheka tu,
Baadae linakuja kustuka linajikuta lipo mapajani kwa mwanaume, mkono mmoja umeshika dushe, halafu ule udenda wake umelowanisha pale juu ya zipu likapagawa, likaanza kunikoromea, hapo ndo nikawa mkali kama mbogo mpaka basi zima wakajua
Mie nikawa nafoka kwa sauti ya juu kabisa " yaani umeona nimelala ukaamua kunichezea mboo yangu, ona mboo mpaka imesimama, halafu abiria wamekuona unajidai kuzuga, hebu tazama nguo yangu ilivyolowa, in umeninyonya mpaka nimekojoa"
Ilibidi nibadilishiwe seat maana vita kubwa sana ilikua inaelekea kutokea
huna akiliTatizo lako unakaa siti nyuma ya dereva hivi unywe tungi usubiri mpaka uchimbe dawa hiyo penis unaifunga na kamba ?
Hivi ukikojoa kwenye kopo na ukijikojolea UPI ni usafi wewe kima
😅😅😅😅Aisee bhs siku tusafiri woteNamba moja imekaa njema Sana na anaweza asirudie tena maana anaweza kujua Basi linadondoka akapiga na kelele kukazia upuuzi wake na anaweza asiishie tu kupiga kelele lazima atoe na kinyampo!.. umemkurupua ghafla hapo lzm ahisi mambo yamekuwa mambo..😜😂
Ila nikikaa siti moja na mtoto kama lliedie afanye awezacho tu nitakuwa sina usemi maana hakuna mkate mgumu mbele ya chai..😉
Sawa itakuwa vyema..😅😅😅😅Aisee bhs siku tusafiri wote
Umejikuta bonge la mpumbavu na pimbi
Enzi na enziKweli jf kuna kila aina yawatu!
Yani ndo umekaa ukafikiria kuleta uzi kama huu naukapata kundi la watu wenye hakiri km zako mkaanza kuchangia!
Uzi wakipuuzi
Kweli jf kuna kila aina yawatu!
Yani ndo umekaa ukafikiria kuleta uzi kama huu naukapata kundi la watu wenye hakiri km zako mkaanza kuchangia!
Uzi wakipuuzi
Tatizo lako unakaa siti nyuma ya dereva hivi unywe tungi usubiri mpaka uchimbe dawa hiyo penis unaifunga na kamba ?
Hivi ukikojoa kwenye kopo na ukijikojolea UPI ni usafi wewe kima
Yawezekana mnabishana na mtu ambaye hajawahi hata kutoka ndani ya wilayaa anayoishi bure. Mtu amezoea kupanda fuso na tipper za mchanga mnategemea nini? Kwenye basi hakuna abiria wanaweza kukubali ufungue dirisha lote kisa pombe zako, utashuka njiani bila kupenda.Upuuzi wako uliotuandikia wa kupenda Kunywa Mipombe yako na Kukojoa katika Makopo na Kutupa Dirishani unautetea kwa Hoja za Kipumbavu.
Acha undezi soma vizuri punguza upompoma wako hapaYawezekana mnabishana na mtu ambaye hajawahi hata kutoka ndani ya wilayaa anayoishi bure. Mtu amezoea kupanda fuso na tipper za mchanga mnategemea nini? Kwenye basi hakuna abiria wanaweza kukubali ufungue dirisha lote kisa pombe zako, utashuka njiani bila kupenda.
Kenge wa jf siku hizi ni werevuAcha
Acha undezi soma vizuri punguza upompoma wako hapa
MTU amesema Mimi nafungua dirisha kila akitaka kunilalia wewe unatoka huko unajiona smart nyang'au na hapa nipo ndani ya gari /bus na konyagi juu kenge wewe
Haya mambo ya usafiri yanakera sana
Kuna siku nilipanda bus na jimama lineneee halafu lina watoto watatu kwa makadirio umri wao ni kati ya miaka miwili mpaka minne, lile mama likagoma kuwalipia siti, likasema litawapakata, yaani basi ilitembea hata robo kilomita bado likaanza kukafosi kale kakubwa kakae katikati yetu(kumbuka lenyewe ni libooonge halafu katoto kakae katikati, can you imagine? halafu lenyewe liko upande wa dirishani) nikajikuta bila kupenda nimekaa tako moja kwenye seat kama vile nililipa nauli nusu, mbaya zaidi tuliposogea mbele kidogo nikapewa na kale kadogo nikapakate.
Nauli umelipa yoote, seat unakaa tako moja halafu juu umebeba mtoto, mbaya zaidi kale katoto kakanikojolea aiseeeee! ukiwa na hasira za karibu utaonekana mbaya, nikajikuta nimekua baba wa watoto watatu na mke wangu bonge