yaani siku ile ilikua nipigwe mpaka nife na yule mwamba, ila kilichonisaidia alikua kafunga mkanda, hivyo alipojaribu kuinuka mkanda ukamzuia, mie kuona hivyo kama umeme fastaaa nikakimbia mpaka kule mbele kwa dereva, halafu abiria wengine wakamzuia.Hahaaaa....aseee nimecheka kufa
aaaah!Wee jamaa unapenda ugomvi si kwa kumseti mwenzio hivyo
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Pole sanaaaaah!
Wakati mwingine mtu unachoka, yaani unajiskiaje mwanaume mwenzio akulalie halafu anakoroma kabisa? Halafu ukimuelekeza anakwambia "im sorry" halafu haziiti hata dk 10 anarudia kitu kilekile?
Hiyo ni dharau au anakuchukulia poa.
Halafu mbaya zaidi pembeni kulikua na pisi kali iko pembeni inanitazama, halafu toka mwanzo ile pisi iliona ule ugomvi wetu wa kugombea siti.
Yaani vita ya seat alinishinda nikamuachia akae dirishani then ananilalua tena daaaah!
Utashangaa wanavyolalamika. Ila hamna ishu inaboa km gari ishakolea road afu mtu mzima anaomba kujisaidia hivi huwa hawawezi kujikontrol hasahasa kunywa vinywaji kwa kiasi. Bora hata wewe unayechukua maamuzi ya kuuhifazi kwenye chupa.
ππππππππCHAIIIIIIMimi kuna lijamaa nilipanda nalo basi, kwanza likafosi kukaa dirishani nikaona poa haina shida.
Huyu bwege alikua analala mpaka anakoroma, ubaya akilala ananiegemea, ikawa kila likinilalia nalistua linaamka, linakaa kama dk5 linalala tena, nikaona isiwe taabu, nikaliacha likalala mpaka usingizi ukalikolea kweli kweli.
Nilipohakikisha liko ndotoni nikaliseti vizuri likalala mapajani kwangu(muda huo niliichezea dushe ikawa wima kama mlingoti) kisha kiutaratiiibu nikalishikisha dushe halafu nikajifanya na mie nimelala.
Abiria wa pembeni walipoona wakastuana wakaanza kuangalia huku wanacheka tu.
Baadae linakuja kustuka linajikuta lipo mapajani kwa mwanaume, mkono mmoja umeshika dushe, halafu ule udenda wake umelowanisha pale juu ya zipu likapagawa, likaanza kunikoromea, hapo ndo nikawa mkali kama mbogo mpaka basi zima wakajua
Mie nikawa nafoka kwa sauti ya juu kabisa " yaani umeona nimelala ukaamua kunichezea mboo yangu, ona mboo mpaka imesimama, halafu abiria wamekuona unajidai kuzuga, hebu tazama nguo yangu ilivyolowa, in umeninyonya mpaka nimekojoa"
Ilibidi nibadilishiwe seat maana vita kubwa sana ilikua inaelekea kutokea
Hahahaa. Uwiiii!!.Sema ulikuwa ni wewe tu rafiki ππ. Unabahati lijamaa lingejuchapa makofi
Hakiri ndio nini? Mpuuzi.Kweli jf kuna kila aina yawatu!
Yani ndo umekaa ukafikiria kuleta uzi kama huu naukapata kundi la watu wenye hakiri km zako mkaanza kuchangia!
Uzi wakipuuzi
Mie safarini huwa nalala sana rafiki ππ.. ili kuifanya safari iwe fupi ...Hahahaa. Uwiiii!!.
Rafiki huwezi amini mi huwa hata sijui usingizi unapatikana wapi nikiwa nasafiri.
Mie siwezi rafiki. Yaani mpaka nikifika mwisho wa safari huwa naumwa kichwa.Mie safarini huwa nalala sana rafiki ππ.. ili kuifanya safari iwe fupi ...
kuna abria wanakera sio tu kujamba wengi wanajinyeaga na kutapika kwa kula samaki wabovu uku nangurukuru
Mleta Mada vipi kama wewe ni mwanaume halafu binti mrembo akikulalia huku akitoa udenda utafanya hivyo ulivyoandika?
Pole sana rafiki..kwa safari ninazo piga sijui ungekuwaje.. πππMie siwezi rafiki. Yaani mpaka nikifika mwisho wa safari huwa naumwa kichwa.
Unakuta unasafiri Umbali mrefu sana kama wa kutoka Mkoani Dar es Salaam na kwenda zako Mkoani Kigoma halafu unajikuta umekaa Siti moja na Abiria ambaye huwa ana tabia zake za Kipuuzi Kipuuzi tu ambapo Usingizi ukimshika atakuegamia na kuanza Kukulalia na hapo hapo akikulalia ataanza Kukutolea Miudenda yake na Valvu yake ya Matakoni itaachia na atakujambia vilevile.
Je, Mzukulu nikikutana na Abiria Mpuuzi Mpuuzi kama huyu nikimpa Adhabu moja kati ya hizi nitakuwa namkosea au namuonea?
1. Nikiona amenilalia tu namwacha Usingizi umkolee kabisa kisha nafyatuka haraka ili ajigonge katika Siti ya mbele aumie akome
2. Nikiona amenilalia tu na kaanza Kunitolea Maudenda (Mate) yako nivumilie na tukifika sehemu ya Kula anifulie Nguo yangu
3. Nikiona amenilalia tu kwa Kuniegemea, Kunidondoshea Maudenda yake na Kunijambia nimzabe Kofi/ Kibao kimoja takatifu
Tafadhalini nichagulieni Adhabu moja tu hapo juu kwani nahisi Siku si nyingi nitasafiri Safari ndefu na najua haya Mauzauza nitakutana nayo tena.