Ni aibu Diamond kukosa Milioni tano ya Matunzo ya Mtoto. Aache kuzaa tu

Ni aibu Diamond kukosa Milioni tano ya Matunzo ya Mtoto. Aache kuzaa tu

Pambana na hali yako sasa ya Diamond na Majizzo mbona unayajua sana na kutaka kuwapangia waishi vipi..Unataka Diamond atoe milioni tano anza na bwanako mwambie akupe milioni tano kila mwezi..😀😀😀
Milioni tano mbali mkuu apewe hata lk Mbili tu watu ni mabingwa Wa kuongea sana...
 
Yaani ana maanisha huyo mtoto anatumia 170,000= kwa siku? Nyinyi wanawake nyinyi Mungu anawaona.....daaa !!!
 
Maswali haya yanaweza kumsaidia wakili wa Diamond na mwanaume yoyote anayemendewa kutapeliwa na watu kama Mobeto.
  1. Kama Mobeto anataka milioni 5 kwa mwezi za matunzo, je mama Diamond apewe milioni ngapi kwa kumlea mwanae ktk mazingira magumu na kukuza kipaje chake?
  2. Mungu aliyembariki Diamond mpaka akafikia hapo alipo apewe shilingi ngapi kama zaka au sadaka?
  3. Je Mobeto anatambua kwamba 'maisha ya kazi za sanaa' (refer Mr. Nice, Twanga Pepeta, Akudo, Daz Nundaz)sio marefu kivile kiasi cha kutaka 'kupora' mapato yote ya mzazi mwenzake?
  4. Kama Diamond atatoa milion 5 kwa mwezi, yeye Mobeto kama mzazi mwenza atatoa kiasi gani? Ikumbukwe matunzo ya mtoto ni jukumu la wazazi wote wawili.
  5. Je kumdai Diamond milioni 5 kwa mwezi sio kumfunga kizazi? Maana akiwa na watoto 10 tu kama ilivyo katika familia kadhaa za kiafrika basi atatakiwa kutoa milion 50 kwa mwezi na milion 600 kwa mwaka?
  6. Baba yake Hamisa anafanya kazi gani/alikuwa anafanya kazi gani? Alikuwa na kipato gani? Mama yake Hamisa alikuwa akipata hela ya matunzo kutoka kwa baba yake inayofikia thamani ya milion 5 anayodai kwa Diamond?
  7. Ni matumizi gani ya mtoto yanayofanya gharama za kumtunza zifike milion 5 kwa mwezi? Huyo mtoto ananyonya maziwa ya simba?
Akijibu maswali hayo, ataishia kupata laki na thelathini (TZS) ya matunzo kwa mwezi!
 
Milioni Tano? Masihara hayo.
Kama mimi ndio Diamond nisingetoa hata senti tano. Hakuna kucheka na malaya.

Kama huyo Mabeto hawezi kumtunza huyo mtoto, basi ampe huyo mtoto Diamond ili akamtunze mwenyewe. Hakuna kubishana.
 
Vip kwa Majay napo alikuwa anapewa hizo 5 milioni kwa mwezi? Au tuu amepania kumkomoa domo
 
Mil.5 huyo mtoto anakunywa uji wa almasi/dhahabu? Hii Kali[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sio kwa enzi ya Magufuli Kama ingekuwa rahisi hivyo hata wanaume tungebeba mimba na kulea kabisa ulaji wa kutosha huo
 
looser kivip wakati kesi bado inaendelea?..........kitakachotokea ni diamond alete vielelezo anaongiza sh. ngapi kwa mwezi.......hapo ndio atakapojikuta hata hio milioni 5 itaonekana ndogo
Ata aingize million 100 hawezi kutoa
 
Wee jama a u serios, M 5??? Aahh huo sasa ni mladi
 
Back
Top Bottom