Ni aibu Diamond kukosa Milioni tano ya Matunzo ya Mtoto. Aache kuzaa tu

Ni aibu Diamond kukosa Milioni tano ya Matunzo ya Mtoto. Aache kuzaa tu

Akili za wanawake finyu sana.... Kuna kidemu kilikuja kwetu kinakaa uswazi. kikaona kigari cha mzee kimepaki., nyumba nzuri madirisha ya vioo, na milango. Mezani msosi umejaa, nalala room self peke yangu....
Kikajua yes hapa ndo nimefika.

Kwa ujinga kikategesha mimba maksudi... Kipindi hicho nimemaliza form six....
Kumbe nilikuwa choko tu sina hata hela ya vocha mfukoni...
Ili kumpa moyo nikampeleka kupima nikapata uhakika....

Badae nikamwambia ukweli sina kitu mfukoni... Baada ya mwezi sikujua ile mimba ilipotelea wapi.... Mpaka leo siji kuonesha maisha yangu halisi kwa mwanamke unless mke wa kuoa.
Haaaaa haaaaa....haya bana choko[emoji23]
 
Watu mnashindwa kuelewa. Hamisa anataka Mtoto wake aishi kwenye hadhi ya Baba yake(Diamond). Awe na show off Instagram kuzidi wale wa South.
Hiyo million 5 inaweza isitoshe kwa Mwezi.

Angalieni hadhi ya Diamond pia. Msilinganishe maisha ya mtoto wa Diamond yawe kama watoto wengine. Hamisa analizangatia hili.
 
Nakumbuka hata suala hamissa kuzaa na mond ulinibishia mnoo nilivyokuambia mond anatunza ile mimba kimya kimya, na kwa ili nabaki na msimamo wangu kuwa haiwezi shuka zaidu ya mil. 1

hivi mnajua majizzo anatoa sh ngp pale? Au mnaona raha tu Dully kuishi sehemu ambayo baba yake hana mchango wowote?

mimi ni team mond ila nafurahi sana yanayotokea haya, ili limpe funzo next time awe makini na mambo yake.
we bwanako anakupa shilingi ngapi? mbona mnakuwa mafundi wa kujua masiha ya wengine wakati ya kwenu yanawashinda. Unakuta mtu anashindia matembele halafu ndo bingwa wa kusema laki si pesa😀😀😀
 
Ndo ajifunze kuvaa condom,milioni tano mbona kidogo sana.Kulea siyo rahisi.
Hakuna wa kumpa hizo, si kwakuwa hazipo. Zipo lakini kupelekana mahakamani ili iweje, Alf 5 kwa siku imtoshe
 
Hahaa nadhani ata huyo hakimu au lawyer akiupa mimba mchepuko akitoa zaidi ni sabini ambayo ndio kiwango cha serikali milioni tano ni matusi makubwa kwa nchi hata mwalimu wa secondary mwenye familia halipwi mshahara huo kwa mwezi uyo lawyer tu au uyo hakimu serikali haimlipi mshahara huo kwa mwezi eti milion 5 kwa uchumi huu wa baba jesca hahaa amezaa saccos, vikoba, bank, au biko? Haoni haya milion tano my foot kama namuona vile majay anavocheka kwa mtandale yule sahau hata kina iyobo madancer hawalipwi pesa hiyo kwa mwezi mavii kwani diamond bank au? Mafyaaakoo.
 
Mkuu milioni tano ni nyingi sana mzee alikuwa anapokea milioni moja na laki nane tulikuwa tunaishi poa kabisa kusoma na kila kitu hii milioni tano duuu
Upo sahihi manake Tanzania hii hata familia yenye kipato cha 1.5M, wanaishi vizuri manake majority familia zetu kipato chake ni chini ya 1M na bado watoto wanaenda shule na hakuna anayelala na njaa!!!

Eti leo hii ionekane 5M ni kwa ajili ya mtoto mmoja tena kutoka kwa mama hayo maisha ya juu wala sio asili yake!!!
 
Hahaha...huyo hakimu mwenyewe anayesikiliza kesi nahisi atakua anatabasamu tu akifikiria mshahara wake anaopewa kwa bwana pombe haufiki hata nusu ya matumizi ya mtoto huyo wa kipekee kabisa...
 
Hapa ndiyo ule msemo wa...
Mwanamke akiamua kukushusha ni dakika chache tu, na akiamua kukupandisha ni masaa machache sana unapo apply...

Cc: mahondaw
Sio mwanamke wala mwanaume.. ni Mungu ndo anayeamua yote hayo..
 
Alisema anatoa 70 per day so he is capable na kingine ukute hamisa anajua south zinapelekwa kias gani ndo maana
Mpwa bhana... eti pengine anajua South zinaenda kiasi gani!!!

Mpwa, hivi viwango sio kwamba vinatolewa tu! Mosi, ni kweli kigezo cha kwanza kinatokana na uwezo wa yule anayetakiwa kutoa hayo matunzo! Na kwa kutumia kigezo hicho, kiwango atakachotakiwakutoa Diamond ni tofauti na kiwango atakachotakiwa kutoa mtu wa kawaida!!!

Hapa inaweza kuonekana kwamba, kwavile ni mtoto wa Diamond, basi 500K ndicho kiwango sahihi.

Pili, lifestyle ya wazazi! Hapa ndipo watu wanaposhindwa kuelewa!!! Kinachoangaliwa hapa sio kwa watu waliokutana barabarani bali watu waliokuwa wanaishi pamoja. Kwa mfano, leo K-Lyn akitarakiana na Mzee Mengi, kitakachoangaliwa ni lifestyle ya K Lyne na Mzee Mengi ambayo assumption itakuwa kwamba, mtoto nae atatakiwa ku-enjoy the same lifestyle ya kwenda vacation Paris, J'burg n.k kwa sababu, endapo wasingetengana, mtoto angekuwa anaendelea kukwea pipa kwenda Seychelles kula upepo wa bahari!

Lakini haiwezekani wewe mama hujawahi kuishi (hata kama sio kwa ndoa but in commitment way) na mwanaume husika halafu u-demand lifestyle ambayo sio ya kwako kwa sababu tu umezaa na huyo mwanaume!

Which means, leo hii Zari na Hamisa wakienda kwenye same mahakama na kesi kusikilizwa na wale wale kwa Hamisa na Zari, bado Zari atapewa pesa nyingi kwa mtoto mmoja kuliko Hamisa kwa sababu, lifestyle ya Zari na Hamisa ni tofauti! Hizi lifestyle ndizo zitakazo-determine kigezo #2 cha kutoa matunzo baada ya kuangalia uwezo wa baba!!

Aidha, Zari ameishi na Mond in commitment way kwahiyo watoto wanatakiwa ku-enjoy the same lifestyle ambayo wange-enjoy kwenye nyumba ya wazazi wao endapo ingekuwa hawajatengana. Msisitizo, hawajatengana!!!
 
Hata kama ni mm bora wanifunge m5 kwa mwezi huyo mtoto anakula nn wakati uraiani mtoto anakula 30000 kwa mwezi yeye m5? Hamisa mabeto aache kumkufuru mungu huyo totoz atakuwa kapipaz sasa
 
we bwanako anakupa shilingi ngapi? mbona mnakuwa mafundi wa kujua masiha ya wengine wakati ya kwenu yanawashinda. Unakuta mtu anashindia matembele halafu ndo bingwa wa kusema laki si pesa😀😀😀
Mimi wangu ananipa mia tano kwa mwezi, una lingine?
 
Ndo ajifunze kuvaa condom,milioni tano mbona kidogo sana.Kulea siyo rahisi.

mwalimu nyerere na akili zake nyingi sijui walimtunza kwa bei gani kama kutunza mtoto ni kazi had zitolewe milion 5
 
Back
Top Bottom