Ni aibu Diamond kukosa Milioni tano ya Matunzo ya Mtoto. Aache kuzaa tu

Wengine papuchi zao ni migodi wengine papuchi zao ni km genge la nyanya
 
Milioni tano kwa mwezi, inaingia akilini kweli? Kukubali takwa kama hilo ni ujinga.
 
Kaishia kuwa looser, ajipange tu atafute tena mwanaume wa tatu wa kumzalia mtoto wa tatu
looser kivip wakati kesi bado inaendelea?..........kitakachotokea ni diamond alete vielelezo anaongiza sh. ngapi kwa mwezi.......hapo ndio atakapojikuta hata hio milioni 5 itaonekana ndogo
 
Ameenda kutafuta hela sababu baba hamtumzi mtoto so acha atafute hela....huyo mond angetaka missa atulie amlelee mtoto wake basi angetoa huduma inayotakiwa na sio laki 2 kwa mwezi.

Kipato kikishuka basi haina shida ila si kwa sasa ambapo ni msanii anayelipwa zaidi na alie na hela zaidi kuliko wasanii wote.

Wanaume kama hamtaki kuhudumia watoto wa nje acheni kuzaa zaa hovyo, natamani single mother wangekua wanafanyia hivi wanaume ambao ni wabishi kulea watoto wao.
Ni sawa lakini mil5 yote hiyo? Huyo mtoto anakula almasi?
 
looser kivip wakati kesi bado inaendelea?..........kitakachotokea ni diamond alete vielelezo anaongiza sh. ngapi kwa mwezi.......hapo ndio atakapojikuta hata hio milioni 5 itaonekana ndogo
Hawezi pewa million tano huyo, looser kwa maana amebaki kwenye mataa penzi limekimbilia mahakamani, ndugu wa diamond wamemgeuka, diamond nae shetani kamuachia karudi kwa zari
 
Acheze biko tu ndio msaada kwake
 
looser kivip wakati kesi bado inaendelea?..........kitakachotokea ni diamond alete vielelezo anaongiza sh. ngapi kwa mwezi.......hapo ndio atakapojikuta hata hio milioni 5 itaonekana ndogo
Ingekua hivyo kila mdangaji angezaa na mwenye uwezo atoke kimaisha
 
Hawezi pewa million tano huyo, looser kwa maana amebaki kwenye mataa penzi limekimbilia mahakamani, ndugu wa diamond wamemgeuka, diamond nae shetani kamuachia karudi kwa zari
sasa si bado mahakama haijatoa hukumu?.......mi nina uhakika hiyo milioni 5 kwa mwezi itatolewa.....sio ombi bali kwa amri ya mahakama
 
Hapa ndiyo ule msemo wa...
Mwanamke akiamua kukushusha ni dakika chache tu, na akiamua kukupandisha ni masaa machache sana unapo apply...

Cc: mahondaw
 
Hahahah..millioni tano aisee mbona kama ni bajeti ya kumtunza yule faru fausta!! Sasa hapo mtoto ndo kwanza ana nyonya anataka 5 millions, je akianza kula msosi si ndo atataka bajeti ya 10 millions
 
Ingekua hivyo kila mdangaji angezaa na mwenye uwezo atoke kimaisha
tatizo umasikini wako unamekuathiri kisaikolojia.........mimi kuna mtu namjua anatoa matunzo ya mtoto zaidi ya hiyo milioni 5 kwa mwezi....hivi hujui kuna watu wanalipwa milioni 60 kwa mwezi hapa tz ?
 
Back
Top Bottom