kasulamkombe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,232
- 2,491
KWANI ZA KIKE NAZO MPAKA TUWAVALISHE.SI MVAE WENYEWE! AU UTAKUWA NI MFUMO DUME TENANdo muwe mnakumbuka kuvaa condom,mfyuuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KWANI ZA KIKE NAZO MPAKA TUWAVALISHE.SI MVAE WENYEWE! AU UTAKUWA NI MFUMO DUME TENANdo muwe mnakumbuka kuvaa condom,mfyuuuu
Haaaaa haaaaa....haya bana choko[emoji23]Akili za wanawake finyu sana.... Kuna kidemu kilikuja kwetu kinakaa uswazi. kikaona kigari cha mzee kimepaki., nyumba nzuri madirisha ya vioo, na milango. Mezani msosi umejaa, nalala room self peke yangu....
Kikajua yes hapa ndo nimefika.
Kwa ujinga kikategesha mimba maksudi... Kipindi hicho nimemaliza form six....
Kumbe nilikuwa choko tu sina hata hela ya vocha mfukoni...
Ili kumpa moyo nikampeleka kupima nikapata uhakika....
Badae nikamwambia ukweli sina kitu mfukoni... Baada ya mwezi sikujua ile mimba ilipotelea wapi.... Mpaka leo siji kuonesha maisha yangu halisi kwa mwanamke unless mke wa kuoa.
we bwanako anakupa shilingi ngapi? mbona mnakuwa mafundi wa kujua masiha ya wengine wakati ya kwenu yanawashinda. Unakuta mtu anashindia matembele halafu ndo bingwa wa kusema laki si pesa😀😀😀Nakumbuka hata suala hamissa kuzaa na mond ulinibishia mnoo nilivyokuambia mond anatunza ile mimba kimya kimya, na kwa ili nabaki na msimamo wangu kuwa haiwezi shuka zaidu ya mil. 1
hivi mnajua majizzo anatoa sh ngp pale? Au mnaona raha tu Dully kuishi sehemu ambayo baba yake hana mchango wowote?
mimi ni team mond ila nafurahi sana yanayotokea haya, ili limpe funzo next time awe makini na mambo yake.
Hahahahaha, faru fausta wapo mpaka manzese[emoji3] [emoji3]milioni tano???????!!!!!!.....mtoto anakula kama faru fausta auN
Hakuna wa kumpa hizo, si kwakuwa hazipo. Zipo lakini kupelekana mahakamani ili iweje, Alf 5 kwa siku imtosheNdo ajifunze kuvaa condom,milioni tano mbona kidogo sana.Kulea siyo rahisi.
Nimejikuta nacheka kama mazuri vilemilioni tano???????!!!!!!.....mtoto anakula kama faru fausta auN
Upo sahihi manake Tanzania hii hata familia yenye kipato cha 1.5M, wanaishi vizuri manake majority familia zetu kipato chake ni chini ya 1M na bado watoto wanaenda shule na hakuna anayelala na njaa!!!Mkuu milioni tano ni nyingi sana mzee alikuwa anapokea milioni moja na laki nane tulikuwa tunaishi poa kabisa kusoma na kila kitu hii milioni tano duuu
Mpwa bhana... eti pengine anajua South zinaenda kiasi gani!!!Alisema anatoa 70 per day so he is capable na kingine ukute hamisa anajua south zinapelekwa kias gani ndo maana
Gigy money papaKaka vipi viewz uko YouTube tupe mrejesho basi kimya sana
hahahahaah atari kkamilioni tano???????!!!!!!.....mtoto anakula kama faru fausta auN
Mimi wangu ananipa mia tano kwa mwezi, una lingine?we bwanako anakupa shilingi ngapi? mbona mnakuwa mafundi wa kujua masiha ya wengine wakati ya kwenu yanawashinda. Unakuta mtu anashindia matembele halafu ndo bingwa wa kusema laki si pesa😀😀😀
Ndo ajifunze kuvaa condom,milioni tano mbona kidogo sana.Kulea siyo rahisi.
Ukistaajabu ya Musa utaona ya Filaunimilioni tano???????!!!!!!.....mtoto anakula kama faru fausta auN