lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Milioni tano mbali mkuu apewe hata lk Mbili tu watu ni mabingwa Wa kuongea sana...Pambana na hali yako sasa ya Diamond na Majizzo mbona unayajua sana na kutaka kuwapangia waishi vipi..Unataka Diamond atoe milioni tano anza na bwanako mwambie akupe milioni tano kila mwezi..πππ
Kwa mwezi hizo dada, kuzaa na mwanaume halafu akatae kukuoa ni deal sasa hivimilioni tano ni kwa mwaka ama?
Kwa mahitaji gani kwa mfanoNdo ajifunze kuvaa condom,milioni tano mbona kidogo sana.Kulea siyo rahisi.
Ata aingize million 100 hawezi kutoalooser kivip wakati kesi bado inaendelea?..........kitakachotokea ni diamond alete vielelezo anaongiza sh. ngapi kwa mwezi.......hapo ndio atakapojikuta hata hio milioni 5 itaonekana ndogo
hahaha sawa sawaHahaha mkikata viuno mjue ni utamu wa mda mfupi malezi ni mda mrefu.