Ni aibu gani umeshawahi kupata kwenye maisha yako??

Ishi katika uhalisia wako mkuu, na hiyo ndio furaha ya maisha! asitokee mtu akupangie jinsi gani unapaswa kuyaishi maisha, tunaishi mara moja, ukipitia ndio umepita!
Hakika mkuu, mimi nitaandika ninavyoona kwangu sahihi anaetaka kusoma asome asiyetaka apite kwenye siasa
 
Nikaenda pharmacy nikakuta Wakina mama watu wazima, wanne nikamnong'oneza yule mphamasia naomba Zana akasema ngoja nimtoe huyo mama kwanza

Basi baadae si akijasahau akaropoka hivi kaka ulisema nikupe boss zima la kondomu ๐Ÿ˜‚wale kina mama vicheko

Ety kijana hayo yote unapeleka wapi๐Ÿค”๐Ÿค”
 
Hakuna ki2 ilikuw inanikera kama debate

Jmn kila wiki jamaa anakuja darasan kuchukua watakao debate mtu unaamisha bichwa asikuone...
AFu kuna ile cjui morning speech nilijuaga kuzikwepa miee....
Hata mimi aisee na nilikuwa mtoro ndiyo maana hawakuwa wananipanga
 
Huyo mshenzi alifanya makusudi kukuaibisha๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Daaah๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚..!!kitamboo sanaa nakumbuka kipndi nipo o level nilikuwa na mazoeaa naa crew ya vjana wa mizahaa sanaa..
Sasa Kuna tukioo lilitokeaa pale skul..Kuna jamaa MMOJA kwenye ilee Crew alifumwaa anakojoa kwenye pipaa la choon aiseee..ilikuwa ni fedhea..
Alivyokamatwaa waalimu wakasemaa huyuu jamaa anaonekana hayupoo yy peke ake anaefanya mamboo kama hayaa ..kidatoo kizmaa kiliitwaa tenaa Kwa vbokoo ilikuwataja hao watuu kwenye kupgwaa watuu ..wakasema tusfee kzembee wacha tuwachomiee crew yakee yotee na mm nikiwemoi kama muhuskaa wawaliokohia kwenye pipa la choonii๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ daaah tulitwaa asemboo kengeree ya dharulaa skul nzmaa aibuu iliojee Kuna walimu na wanafunzii walikuwa wananiheshimu sanaaa tuu..wakanikutaaa na mm nikiwemooo daaaah๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚...
Nilikulaaa sanspaaa ya wkii mbilii Ile napeleka barua nyumban maza hakuaminii kama ni mmi... Kwanzaa ilikuwaa nikitukooo balaaa,๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ sjiikusahau
Hadii mdaa huu nikikutana na nilikuwa nao class mojaa wananiita kipipa
Aibuuu sanaaa ..sjui inafutkajee hii ni kitamboo ilaa hadii Leo ni historiaa
 
Pole sana mkuu, mimi kuna shuleni nilikuwaga sitaki matukio kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ