Ni aibu gani umeshawahi kupata kwenye maisha yako??

Ok muda wa mastori kumbe? basi sawa.Nilienda Dom kwa uncle wangu kumlindia nyumba na kumpa kampani akiwa anaenda jobu.Sasa bwana mjomba alikuwa lugumya( bahili kinoma).Hatoi hata mia ila kula utakula.Sasa siku moja nikawa niko room kwangu nimejilaza nikaona kwenye silingi bodi wamekata kama kipembe nne,mawazo yakaniijia nipande pale na kweli nikapanda nikatambaa kama mjeshi nikaibukia chumbani kwa mjomba.Ile natua tu chumbani na mlango unafunguliwa uso kwa uso na mjomba.
Hiyo ndio stori yangu ya leo.
Oiiii .
 
Mimi niliwahi kuitwa mahali na mtu nikaenda hiyo sehemu nikakutana na marafiki zake, sasa huyo mmoja niliwahi kudate nae aisee hii aibu ilikuwa kubwa sana na huyu jamaa niliekuwa nae akawa ananiintroduce mimi mtu wake nini ana furahia😁😁

After hapo yule jamaa nadhani alipewa taarifa na rafiki yake hakunitafutaga tena na alikuwa hajawahi kula mzigo, ndiyo iliishaga hivyo.

Hiyo ilikuwa kitambo kwasasa nimeacha hayo, maana hamchelewi kunipopoa😁😁🙌
Naamini na yeye aliichakata iyo Mbususu.
Wewe igawe utakavyo iyo ni mali yako
 
Ok muda wa mastori kumbe? basi sawa.Nilienda Dom kwa uncle wangu kumlindia nyumba na kumpa kampani akiwa anaenda jobu.Sasa bwana mjomba alikuwa lugumya( bahili kinoma).Hatoi hata mia ila kula utakula.Sasa siku moja nikawa niko room kwangu nimejilaza nikaona kwenye silingi bodi wamekata kama kipembe nne,mawazo yakaniijia nipande pale na kweli nikapanda nikatambaa kama mjeshi nikaibukia chumbani kwa mjomba.Ile natua tu chumbani na mlango unafunguliwa uso kwa uso na mjomba.
Hiyo ndio stori yangu ya leo.
Oiiii .
Huo msala asee.
 
Hakushusha kipondo cha mbwa mwizi?
 
😁😁😁Wee jamaa hebu tunaomba part 2
 
Kwahiyo unataka umkomeshe kisawa sawa
Eee! Nashindwa kureflex sawa sawa mishipa yangu ya makalio!

Tena afadhali afanye mautundu yake kabla sijafika ama kukaribia climax isee.

Wakati huo muhimu ninapenda utulivu ka' wa simba anayekula mzoga.

Wakati akitafuna hapendi kelele wala fujo zenye kuleta jazba.
 
Back
Top Bottom