Ni aibu gani umeshawahi kupata kwenye maisha yako??

Ni aibu gani umeshawahi kupata kwenye maisha yako??

Mimi O level nilikuaga kwenye Debating club sasa tukawa tumeenda kushindana na shule ya mademu. Sisi tulikua tuna propose afu wao wanaoppose motion. Usiku wakati naandaa points nikajichanganya nikaandaa points za ku-oppose motion ,afu kesho yake mi ndio nilikua first speaker na bahati mbaya nilichelewa ile warm up na wenzangu so hakuna alojua naenda kinyume. Tumefika ukumbini watu wamejaa hadi nje wengine wanachungulia madirishani nikashangaa baada ya introduction nainuliwa kama first speaker to propose the motion. Yale mawenge sijawahi yapata aisee hata sikuelewa nimefikaje kwenye kipaza sauti. Kilichofuata hapo ni kituko cha karne maana sio kwa aibu ile mbele ya mademu mpaka wenzangu wakahisi nimerogwa. Ile aibu sikuwahi tia mguu kwenye mashindano tena maana nilisababisha team yetu kuzomewa vibaya sana
Pole sana mkuu mimi nilikuwa nakimbia debate hadi namaliza O-level sijawahi kushiriki Debate
 
Aibu iliyotokea ni lucas mwanshamba kusema nchi ya tanzania itauza umeme nchi za nje na bwawa la umeme nyerere linaweza kukaa miaka 3 bila maji kukauka.

Leo anaaelezwa umeme utanunuliwa nje.
Yani mpaka sasa JF yupo kimya na watu wake wakijaribu wadivert vipi
Hatari sana hii
 
Back
Top Bottom