Binti Sayuni03
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 1,075
- 1,913
- Thread starter
- #41
Hapo umeniacha mkuu hebu nieleweshe vizuriWewe ni kamalayer****upgrade
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo umeniacha mkuu hebu nieleweshe vizuriWewe ni kamalayer****upgrade
Hebu lete mkuu, tujifunzeMimi nikitoa kisa changu mtalia Sana na kusaga meno.
Si tunataka tulieMimi sitaki mlie
Umevurugwa si bureHuwa nasoma usiku mtumishi
Hayo unayoturingishia kila sikuSina bhana
Kivipi tena?Umevurugwa si bure
Kwa kisa kile hata mimi nakushauri usikilete hapa, seva zitazima.Mimi nikitoa kisa changu mtalia Sana na kusaga meno.
Nafatilia ushuhuda wakoKivipi tena?
Upi huo mkuu?Nafatilia ushuhuda wako
Pole sana mkuu hiyo aibu ya mbele za watu mbaya sanaHahaaa!!!
Nilikua kanisani, ukafika mda wa kutoa sadaka, kikapu kimepita wa mwisho nikawa mimi, kila nikitazama nimpasie nani hakuna.
Akaja katekista(msimamizi) akaniambia nikipeleke kikapu mbele altar, ukizingatia sijawahi kufika altar tangu nizaliwe, kubisha siwezi.
Nikasimama kwa heshima nikaanza safari ya kujongea altar wenge kama lote, nimefika pale sijui nifanye nini aseee!!! Ikabidi nianze kukopi kila anachofanya padre.
Ikawa akiinama na mie nainama, akiinuka na mie nainuka, nikamuona anaanza kucheka, kumbe anavyocheka tayari kanisa zima hawana mbavu.
Kidogo nasikia mpaka wanakwaya wanashindwa kuimba wanacheka
Hebu lete mkuu, tujifunze
Baada ya kupata ajira nikianza kuwa mlevi wa kutupwa halafu nilikuwa najitamba kuwa nina pesa chafu, sikukumbuka habari ya kujenga nyumba yangu ili nikistaafu nisitaabike.Si tunataka tulie
Kweli kabisa mkuuKwa kisa kile hata mimi nakushauri usikilete hapa, seva zitazima.
Hiyo kweli aibu kubwa mkuu, kiuhalisia hakuna anayeweza kula ugali bila mbogaBaada ya kupata ajira nikianza kuwa mlevi wa kutupwa halafu nilikuwa najitamba kuwa nina pesa chafu, sikukumbuka habari ya kujenga nyumba yangu ili nikistaafu nisitaabike.
Mwaka mmoja kabla ya kustaafu nikianza kujenga nyumba ambayo ingekuwa ya kupangisha mungu si Monetary doctor nyumba ikafika katika kiwango lenta lakini isivyo bahati muda wa kustaafu uliwadia.
Nilijisemea kuwa kiinua mgongo changu kitanisaidia kumalizia lakini mambo yalikwenda kinyume na matarajio kwani nilizidisha pombe maradugmfu, nilikuwa nawanywesha marafiki na nilikuwa najitamba hata nikajibatiza kwa jina la Dewji lakini pension nayo iliisha mazima.
Siku moja nilibanwa na njaa kali isiyo na mfano na mfukoni nilikuwa na TSH 1000 niliingia kwenye mgahawa ambao chakula cha bei ya chini kilikuwa TSH 1500 nacho ni ugali. Mazungunzo baina yangu na maman'tilie yalikuwa hivi.
MMI: ugali shilingi ngapi.
MAMAN'TILIE: 1500.
MIMI: (huku nilimpa 1000) hebu naomba unipatie ugali bila mboga.
MAMAN'TILIE: Khah kwa hiyo hutaki mboga au huna hela.
MIMI: Nina hela sema Leo nimeamua Kula ugali peke yake maana katika dunia hii hakuna chakula ambacho sijawahi kula ila ugali bila mboga.
Kumbe watu walikuwa pale mgahawani walikuwa wananisikia, walinicheka na kuanza kunikebehi, yaani siku hiyo niliona aibu ambayo sijawahi kuona mpaka miguu ilikosa nguvu.
Mimi mara nyingi walikua wananiweka wa kwanza ili kuwachanganya maadui na kuwashusha confidence. Ndio maana hata kwenye rehersal sikuwepo na hawakua na wasiwasi namimi,Ila siku hiyo nilipatikana maana hata sikua nimeambiwa siku hiyo mi naanzaPole sana mkuu mimi nilikuwa nakimbia debate hadi namaliza O-level sijawahi kushiriki Debate
Ushawai kutana na crush wako sehemu alafu ulikua unafanya kitu embarrassing lol omba yasikukute😹😹😹🙌🏾
Kweli au drama tu?Baada ya kupata ajira nikianza kuwa mlevi wa kutupwa halafu nilikuwa najitamba kuwa nina pesa chafu, sikukumbuka habari ya kujenga nyumba yangu ili nikistaafu nisitaabike.
Mwaka mmoja kabla ya kustaafu nikianza kujenga nyumba ambayo ingekuwa ya kupangisha mungu si Monetary doctor nyumba ikafika katika kiwango lenta lakini isivyo bahati muda wa kustaafu uliwadia.
Nilijisemea kuwa kiinua mgongo changu kitanisaidia kumalizia lakini mambo yalikwenda kinyume na matarajio kwani nilizidisha pombe maradugmfu, nilikuwa nawanywesha marafiki na nilikuwa najitamba hata nikajibatiza kwa jina la Dewji lakini pension nayo iliisha mazima.
Siku moja nilibanwa na njaa kali isiyo na mfano na mfukoni nilikuwa na TSH 1000 niliingia kwenye mgahawa ambao chakula cha bei ya chini kilikuwa TSH 1500 nacho ni ugali. Mazungunzo baina yangu na maman'tilie yalikuwa hivi.
MMI: ugali shilingi ngapi.
MAMAN'TILIE: 1500.
MIMI: (huku nilimpa 1000) hebu naomba unipatie ugali bila mboga.
MAMAN'TILIE: Khah kwa hiyo hutaki mboga au huna hela.
MIMI: Nina hela sema Leo nimeamua Kula ugali peke yake maana katika dunia hii hakuna chakula ambacho sijawahi kula ila ugali bila mboga.
Kumbe watu walikuwa pale mgahawani walikuwa wananisikia, walinicheka na kuanza kunikebehi, yaani siku hiyo niliona aibu ambayo sijawahi kuona mpaka miguu ilikosa nguvu.
Kwanini wakupopoe?Mimi niliwahi kuitwa mahali na mtu nikaenda hiyo sehemu nikakutana na marafiki zake, sasa huyo mmoja niliwahi kudate nae aisee hii aibu ilikuwa kubwa sana na huyu jamaa niliekuwa nae akawa ananiintroduce mimi mtu wake nini ana furahia😁😁
After hapo yule jamaa nadhani alipewa taarifa na rafiki yake hakunitafutaga tena na alikuwa hajawahi kula mzigo, ndiyo iliishaga hivyo.
Hiyo ilikuwa kitambo kwasasa nimeacha hayo, maana hamchelewi kunipopoa😁😁🙌
Inasikitisha Sana mkuu.Kweli au drama tu?