Tatizo lako unampangia mipango yako wakati yeye tayari ana mipango yake!. Itakuwaje ushampa hio vifaranga halafu dili lake linaitika?Hawajielewi kichwani hamnamo yupo radhi akuombe akuombe 5k abeti lakini sio kukuomba umfundishe namna ya kuipata hiyo hela.
kuna dogo nilimwambia aje ahudumie kuku wangu ili apate walau uzoefu huku namlipa na mwisho wa mkataba nita mnunulia vifaranga 200 aanze kufuga kuku sasso akakataa akasema hawezi ameshatuma maombi ya kazi hivo anasubiria.
nilimshangaa sana yaani kumlipa nimlipe halafu bado nakuja na kumpa vifaranga 200 kama mtaji wake na ni baada ya miezi4 tu akakataa. mtu kama huyo utamuweka kundi gani?
Jifunzeni kuheshimu mipango ya watu hata kama unaona kwako hayana tija
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app