Ni aibu Graduate wengi kumaliza chuo hawezi kujitegemea. Nashauri wasipewe vyeti hadi kuwe na ushahidi wa kujitegemea

Hawajielewi kichwani hamnamo yupo radhi akuombe akuombe 5k abeti lakini sio kukuomba umfundishe namna ya kuipata hiyo hela.

kuna dogo nilimwambia aje ahudumie kuku wangu ili apate walau uzoefu huku namlipa na mwisho wa mkataba nita mnunulia vifaranga 200 aanze kufuga kuku sasso akakataa akasema hawezi ameshatuma maombi ya kazi hivo anasubiria.

nilimshangaa sana yaani kumlipa nimlipe halafu bado nakuja na kumpa vifaranga 200 kama mtaji wake na ni baada ya miezi4 tu akakataa. mtu kama huyo utamuweka kundi gani?
Tatizo lako unampangia mipango yako wakati yeye tayari ana mipango yake!. Itakuwaje ushampa hio vifaranga halafu dili lake linaitika?

Jifunzeni kuheshimu mipango ya watu hata kama unaona kwako hayana tija

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Shughuli nyingi wanazofanya Darasa la 7 / Form 4 hata wahitimu wanaziweza, ingekuwa vyema wahitimu waanze kujitafuta huku mapema,

Darasa la 7 / Form 4 anajitegemea kwa kuchoma mahindi , inakuwaje muhitimu anabaki kwao wakati nae anaweza ?

Darasa la 7 / Form 4 anajitegemea kwa kunyoa , inakuwaje muhitimu anabaki kwao wakati nae anaweza ?

Darasa la 7 / Form 4 anajitegemea kwa umama / ubaba ntilie , inakuwaje muhitimu anabaki kwao wakati nae anaweza ?

Darasa la 7 / Form 4 anajitegemea kwa useremala , inakuwaje muhitimu anabaki kwao wakati nae anaweza ?
Mkuu acha kurahisisha mambo kuna kitu kinaitwa Skills..., hilo lazima ujue kabla ya yote na sio jambo rahisi na linaongezeka kutokana na experience...

Mbili swali la kujiuliza zaidi hao wachoma mahindi, wanyoa nywele na seremala ni wangapi wana income ya kujitosheleza basic needs zao za kila siku ?

Kazi za kunyoa, food and hospitality unadharau ila hizo ni kazi ambazo zina skills ambazo hazijalishi usomi wako bali experience katika field.., LAKINI kwa mtu mwenye upeo mrefu ni tunataka kujenga nchi ya baba / mama ntilie, maseremala wa kubangaiza na street hawkers au nchi yenye mpangilio ambayo watu wanaweza kujishikiza kutokana na experience yao na ujuzi wao kupata basic needs ?

Kwa mtaji huu wa kutokuwabana watunga sera wananchi wataendelea kubangaiza till Kingdom Come..., na walamba asali wataendelea kuwalisha matango pori kwamba shida zao hao wanaokosa ujira wa kutosha ni wao wenyewe kutokujiongeza.... (No wonder Bongo kuna utitiri wa watoa huduma walewale kila kona wengine kuzidi hata wahitaji)
 
Ch aajabu kipi ? hata mitihani ya Marekani ipo kwa format ya kuchagua majibu, computer zinasahisha kwa urahisi
Kumbe ndio maan huku unaambiwa tunajenga kwa fedha zetu kule jamaa anasini mkopo wa bilioni 30.
Huku unaambiwa uchumi unakuwa kule uchumi unashuka kama kimondo!
Asante,
 
Mkuu acha kurahisisha mambo kuna kitu kinaitwa Skills..., hilo lazima ujue kabla ya yote na sio jambo rahisi na linaongezeka kutokana na experience...

Mbili swali la kujiuliza zaidi hao wachoma mahindi, wanyoa nywele na seremala ni wangapi wana income ya kujitosheleza basic needs zao za kila siku ?

Kazi za kunyoa, food and hospitality unadharau ila hizo ni kazi ambazo zina skills ambazo hazijalishi usomi wako bali experience katika field.., LAKINI kwa mtu mwenye upeo mrefu ni tunataka kujenga nchi ya baba / mama ntilie, maseremala wa kubangaiza na street hawkers au nchi yenye mpangilio ambayo watu wanaweza kujishikiza kutokana na experience yao na ujuzi wao kupata basic needs ?

Kwa mtaji huu wa kutokuwabana watunga sera wananchi wataendelea kubangaiza till Kingdom Come..., na walamba asali wataendelea kuwalisha matango pori kwamba shida zao hao wanaokosa ujira wa kutosha ni wao wenyewe kutokujiongeza.... (No wonder Bongo kuna utitiri wa watoa huduma walewale kila kona wengine kuzidi hata wahitaji)
Kuchoma mahindi, kupika wali na maharage, kunyoa nywele kawaida ni skills ambazo mtu anaweza kujifunza hata kwa mwezi pekee, labda kama ni mambo advanced sana mfano kwenye kunyoa kuna wle wanaochora kwa kunyoa
 
Huyu jamaa ni wale watu ambao wanatumia nguvu kubwa sana kuonekana wamesoma matokeo yake kuna mipaka wanavuka wanaumbuka, ni sawa na wale wanaolazimisha kujibu swali wasilolijua ilimradi wafosi kuonekana waasomi hata kwa kutumia miaasamiati, mtu hajui maana ya photosynthesis anajibu is the energy in relation to matter 😅
😅😅😅
 
Kuchoma mahindi, kupika wali na maharage, kunyoa nywele kawaida ni skills ambazo mtu anaweza kujifunza hata kwa mwezi pekee, labda kama ni mambo advanced sana mfano kwenye kunyoa kuna wle wanaochora kwa kunyoa
Unaangalia suala kwa individuals mimi naangalia suala kama complete set yaani nguvu kazi kwa ujumla....; Tunatumia Kodi zetu na muda wa kuwaongezea watu upembuzi wa kuweza kupambana na mazingira yao alafu wakija hakuna infrastructure ya kuweza kutumia kile tulichowafundisha hio ina maana gani ?

Badala ya kuwa na mama ntilie wanaouza chakula bukubuku na kujinyima na siku wakiugua wanakula mtaji wao wote kwanini tusiwe na formal restaurants / quality places ambapo mtu anatoa pesa ya kumnufaisha huyu mama anayeshinda kwenye moto siku nzima na kuajiri wadogo zake anaowalipa buku mbili kwa siku (hapo na nauli ya kuja na kuondoka) - Utaona kwamba hilo haliwezekani sababu watu hawana buying power wanakwenda kwenye cheap prices na hao wanaowapa huduma hawana option bali kufanya wanachofanya mkono uende kinywani...

Kwahio narudia tena wewe unaangalia symptons mimi naangalia root causes..., by the way na hao graduates wote wakichoma mahindi, mama ntilie na seremala itafika wakati kila mtu anajipikia chakula na kujiuzia na kujilisha - No Buying Power....
 
Tatizo lako unampangia mipango yako wakati yeye tayari ana mipango yake!. Itakuwaje ushampa hio vifaranga halafu dili lake linaitika?

Jifunzeni kuheshimu mipango ya watu hata kama unaona kwako hayana tija

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kwani kufuga lazima uwepo mwenyewe? kwa bahati mbaya hadi sasa yupo kitaa tu ramani hazijasoma bado mwaka3 huu. anaishi kwa beti ndo inamfanya a survive. siwezi mpangia nilikuwa naitaji kwa nilicho nacho mimi. bali alionyesha kuzarau kulingana na elimu yake aliyonayo hawezi lisha kuku!
 
Mtoa mada upo sawa mno. Ila watakuja kwa kivuli cha mitaala yetu haifundishi kujitegemea nk .
Lakini ukweli usemwe hawa wahitimu wa vyuo vikuu ni vilaza na vimeo sana huku kitaa. hawana msaada wowote hadi hap nyumbani kwao... mbuge kishimba aliwahi kusema haya kuwa mwanachuo hana faida anazidiwa na mhitimu wa darasa la saba
Tatizo linaanzia nyumbani. Sasa mtu amewekewa house help kuanzia mdogo mpaka kijana. Hajui kufua, kulima bustani etc unafikiri atafanya nini akimaliza shule? Atafikiri kazi ni ajira ya ofisini tu. Mtu kamaliza kozi ya horticulture anasubiri kuajiriwa wakati mzazi ana shamba lenye rutuba, haikubaliki
 
Andika baadhi badili hicho kichwa chako cha mada kabla sijakuporomoshea matusi ya nguoni kuna wanaojielewa

Sio wote badili hiyo heading mbwa wewe

Nyoko wewe
Narudia andika kichwa cha maada baadhi hawajielewi mshenzi wewe
Naona umepanic mithili ya mtu aliyeguswa na kidole katikati ya makalio jamaa kakuchoma haswa
 
Hawajielewi kichwani hamnamo yupo radhi akuombe akuombe 5k abeti lakini sio kukuomba umfundishe namna ya kuipata hiyo hela.

kuna dogo nilimwambia aje ahudumie kuku wangu ili apate walau uzoefu huku namlipa na mwisho wa mkataba nita mnunulia vifaranga 200 aanze kufuga kuku sasso akakataa akasema hawezi ameshatuma maombi ya kazi hivo anasubiria.

nilimshangaa sana yaani kumlipa nimlipe halafu bado nakuja na kumpa vifaranga 200 kama mtaji wake na ni baada ya miezi4 tu akakataa. mtu kama huyo utamuweka kundi gani?
Ndugu yako au
 
Mnawakosea sana wahitimu, mbona wanajitafuta sana, shughuli nyingi za uchuuzi wanafanya wao na degree zao lakini bado mnawananga.

Au mnataka akikuuzia muhindi ajitambulishe kua ana degree ya uchumi?? Akikudai nauli kwenye daladala (konda) ajitambulishe kua nae kasoma pale NIT??

Acheni hizi mambo za kuona graduates hawafanyi kitu mtaani wakati boda wengi wenye age kati ya 24-30 wengi ni graduates wa vyuo mbalimbali hasa kwa mjini daslam.
 
Kumekuwa na tabia iliyojizolea umaarufu kwa wahitimu wakimaliza vyuo wanarudi nyumbani na kushinda mitaani / mitandaoni bila shughuli maalum ya kuwafanya wajitegemee, muda huwa hausimami miaka inaenda unakuta mhitimu anagonga 28+ bado yupo kwao

Wengi huwa wanaona njia pekee ya kujitegemea ni kuajiriwa, hawapo tayari kufanya shughuli zingine utawasikia "nimeshatuma maombi ya kazi flani nasubiria interview", matokeo yake miaka inaenda mtu yupo kwao.

Shughuli nyingi wanazofanya Darasa la 7 / Form 4 hata wahitimu wanaziweza, ingekuwa vyema wahitimu waanze kujitafuta huku mapema,

Darasa la 7 / Form 4 anajitegemea kwa kuchoma mahindi , inakuwaje muhitimu anabaki kwao wakati nae anaweza ?

Darasa la 7 / Form 4 anajitegemea kwa kunyoa , inakuwaje muhitimu anabaki kwao wakati nae anaweza ?

Darasa la 7 / Form 4 anajitegemea kwa umama / ubaba ntilie , inakuwaje muhitimu anabaki kwao wakati nae anaweza ?

Darasa la 7 / Form 4 anajitegemea kwa useremala , inakuwaje muhitimu anabaki kwao wakati nae anaweza ?
Wewe ni mpumbavu , kwahiyo ni vijana graduates tu ndio unahisi wanakabiriwa na uhaba wa ajira na fursa za kiuchumi na kujikuta katika hali ya utegemezi ?

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Kumekuwa na tabia iliyojizolea umaarufu kwa wahitimu wakimaliza vyuo wanarudi nyumbani na kushinda mitaani / mitandaoni bila shughuli maalum ya kuwafanya wajitegemee, muda huwa hausimami miaka inaenda unakuta mhitimu anagonga 28+ bado yupo kwao

Wengi huwa wanaona njia pekee ya kujitegemea ni kuajiriwa, hawapo tayari kufanya shughuli zingine utawasikia "nimeshatuma maombi ya kazi flani nasubiria interview", matokeo yake miaka inaenda mtu yupo kwao.

Shughuli nyingi wanazofanya Darasa la 7 / Form 4 hata wahitimu wanaziweza, ingekuwa vyema wahitimu waanze kujitafuta huku mapema,

Darasa la 7 / Form 4 anajitegemea kwa kuchoma mahindi , inakuwaje muhitimu anabaki kwao wakati nae anaweza ?

Darasa la 7 / Form 4 anajitegemea kwa kunyoa , inakuwaje muhitimu anabaki kwao wakati nae anaweza ?

Darasa la 7 / Form 4 anajitegemea kwa umama / ubaba ntilie , inakuwaje muhitimu anabaki kwao wakati nae anaweza ?

Darasa la 7 / Form 4 anajitegemea kwa useremala , inakuwaje muhitimu anabaki kwao wakati nae anaweza ?
Akili fupi kama mkia wa mbuzi , kwa hiyo wewe unaona ni sawa na ni hali ya kawaida graduate aliyespend miaka yote hiyo shule na gharama kubwa tena kodi za wananchi kama ruzuku ya masomo ya elimu ya juu ,pesa zote hizo msomeshe watu halafu warudi kuchoma mahindi na kufanya kazi za kipumbavu zisizoobfeza tija yoyote kwenye uchumi ?
Wewe unaona ni sawa si ndio ?
Hiyo mikopo waliyopewa na loans board watarudisha kwa kuchoma mahindi si ndio ?
Na huko kuchoma mahindi kunaongeza tija ipi kwenye uchumi wa nchi ?

Una akili timamu wewe ?

Au ndio ninyi wapuuzi mnaokurupuka na kuandika upuuzi kwa mada sensitive tena zinazogusa maisha ya watu na maslahi ya nchi directly kama hili

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Kusoma sio kuelimika,pili Pana elimu ya darasani na elimu ya mtaani
 
Ni aibu imejengwa kwenye mindset kuogopa kuonekana wanachoma mahindi, kuuza nyanya gengeni, kuwa mama ntilie, kuwa kinyozi, n.k. ni kujiona keki kwamba kazi pekee wanazoweza kufanya ni za ofisini ama kuuza kwenye frem.
Wewe ni nani kuanza kupangia watu maisha na jinsi ya kuishi ?
Kama ni kuchoma mahindi kachome wewe , usilazimishe wengine waishi maisha inayoishi wewe ,
Mburula msio na elimu mna insecurity na inferiority complex Sana
How is it your business mtu kuishi maisha yake ?
Pumbavu

Back
Top Bottom