MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 373
- 895
- Thread starter
-
- #21
ππ π πUhalisia wa mtu upo kwenye simu yake hasahasa search history zake kwenye mitandao mbalimbali.
Kuna watu wengine tena wa maana kabisa na wengine ni viongozi wa dini, search history zao za Telegram ni Utamu motomoto.
Simu huficha mengi sana.
ππLabda sms za songesha tu .
π πππKwa nini uende mbali...
Itokee tu siku moja PM imegeuka kuwa jukwaa, kila PM iwe hadharani...
π π π πYa gu ni chafu mpaka mwenyewe naiogopa
πππππAtakuta zile msg za "ile hela tuma kwa namba hii,jina litasoma mangala sukuro"
Uhalisia wa mtu upo kwenye simu yake hasahasa search history zake kwenye mitandao mbalimbali.
Kuna watu wengine tena wa maana kabisa na wengine ni viongozi wa dini, search history zao za Telegram ni Utamu motomoto.
Simu huficha mengi sana.
π π π π ππππKuna huyo mmoja anajiita mchungaji of course hata watu wanamwiita mchungaji anachapa sana injili watu wanaokoka sana alooo hata wewe ukimuona utamuamini 100%
Kwenye simu yake kuna Jehanam ana groups zote za connection ana mapicha ya hovyo yaani kiufupi moto wake utakuwa wa gesi Kama atakufa na zile dhambi
Simu hizi zitawapeleka wengi Jehanam
Nimekwishain case cm yangu nikajikuta ghafla mtu mwingine anayo katika umiliki wake yani sijafuta wala kuhide chochote
Noma hiyo πTwerking video's, na screenshot za pisi kali
Sasa si ataiona hii koment maana huyo ni mdau.Me naogopa akijua ni member wa Jf, na wakati alishaniuliza unaijua JF,
Nikajibu siijui ndy kitu gani hichoooo???
Akajibu nanukuu " Yan JF ni platform ambayo wadada wanajiuza huko, kuna kitu kinaitwa PM"
Miye nikajibu sawaaaaaaa
Kwani unafikiri ni mwanaume gani humu JF hana gari zaidi ya mimi na mzabzab ?Tatizo hatuishi uhalisia wetu, mtaani choka mbaya jf tajiri ππ