Ni aibu kiasi gani utaipata endapo mtu akishika simu yako ghafla na akaanza kuikagua?

Ni aibu kiasi gani utaipata endapo mtu akishika simu yako ghafla na akaanza kuikagua?

Ni katika kumchunguza tu dear… alitakaga kuniwowa but nikawa simtrust ni kama mambo mengi hivi anajifichia kwenye dini.. nikamwambia anipe nicheze game so nikapitia nilichotaka kupitia nika finalize ni muhuni tu
Pole
 
Kama head inavosoma.....

Binafsi juzi kuna mmama flani wa so Mzee ni kama mshangazi alikuja ofisini kwangu akihitaji nimrekebishie swala fulani.

Sasa swala lenyewe lilikuwa ni app ya mesej ilijiupdate ikaleta features ambazo Maza alikuwa hazipendi sasa kaniachia cm yeye kakaa nje nikairekebisha then akanambia niingie nijaribu kutumia mtu meseji.

Sasa picha linaanza ile nimeingia nikakutana na text kwenye chat ya juu kabisa "leo uninyoe mavuz*, yani alikuwa katumiwa yeye hiyo text.

Nikanogewa nikascrol chini ebwana eeeeeeh!

Sisi vijana tunaigiza, zamani ndo watu walikuwa wanayafaidi mapenzi. Kwa zile chats nilizoziona kwa yule mama asee acheni vijana waangukie kwa mishangazi hata mm yule mama ikitokea nimempata ni lazima nihakikishe namla.

Sasa nikaona kama mesej tu zipo vile vipi watsap na picha chap nikaenda kwenye gallery wazee niishie hapa maana so kwa zile picha na video kitumbua kimepakwa mafuta kinameremeta kidogo nikitupe cha kuku, yule mama mm nitamtafuta anajua wazee nitamtafuta nitafanya kila liwezekanalo nimtembezee gwaji boi. Nikaclear history fasta nikamrudishia simu yake.

Sasa nikawaza hivi in case cm yangu nikajikuta ghafla mtu mwingine anayo katika umiliki wake yani sijafuta wala kuhide chochote ni vitu gani vya aibu atakutana navyo? Nikaamua nije nikuulize nawew mwanaJF.
Mimi ya kwangu ni user friendly kwasababu haina hata passcode ama video na nyimbo za kusikilza wala picha ya mtu
 
 
Kwakweli hamna simu yangu naweza kumpa hata mama yangu apekue
 
Nyie ndo mnapewa lift mnataka kupiga na honi,
Ulivyo mpumbavu nawewe unataka kwenda kukomba maradhi tu,huyo mama kakupa makusudi hiyo simu anajua una kimbelembele sana.
Ushasema,mjimama,mshangazi sasa huyo cha ajabu nini wewe kushangaa ambacho yeye dunia hii hajafanya.
 
Ataambulia vyeti vyangu na picha za watoto,message za mama fulani mmeamkaje basi
 
kote sawa ila shida mtu akiingia telegram au search history za opera
 
Kwa sasa nashukuru, nimejaribu kuacha flirting na nadhani nimeweza. Huu ndio ugonjwa wangu miaka mingi, ila maamuzi magumu yamenisaidia. Yoyote aje aishike, atakuta jf, fb, twitter, sms, WhatsApp ni kama haitumiki tena..sina picha mbovu..
 
Umenikumbusha kuna mmoja aliwahi kuniomba nimrudishie picha alizofuta bahati mbaya (kurestore). Bahati mbaya ukirestore zinakuja zote 😀😀aisee, nyingi alijirekodi uchi wa mnyama akikatika, mchana ana baibui kafunika kabakiza macho tu.
 
Back
Top Bottom