Ni aibu kiasi gani utaipata endapo mtu akishika simu yako ghafla na akaanza kuikagua?

Nitajisikia vibaya kuwa imechoka sana
 
Kijana huna mabadiliko ya kazi Yako. Ok, kwenye sms alimwambia ukaribu, kwenye WhatsApp kilikupeleka kitu gani?

Ukikutana na Daktari wa aina hii hauchelewikukuta taarifa za afya yako mtaani.

Wewe ukimpa mtu simu Yako akaanza kuipekua utajisikiaje?
 
Na wewe ni mhanga?
Ulijuaje hayo?
Nimewaza tu๐Ÿค”
 
Yangu utakutana na memes na picha za wanangu.

Huko kwenye msg utakuta za data yako inakaribia kuisha. Whatsapp ni memes zaidi. Kwa kifupi simu yangu haina la maana la kuweza nitisha.

Kimbembe ukikamata laptop, huko ndoa itavunjika.
 
Yangu utakutana na memes na picha za wanangu.

Huko kwenye msg utakuta za data yako inakaribia kuisha. Whatsapp ni memes zaidi. Kwa kifupi simu yangu haina la maana la kuweza nitisha.

Kimbembe ukikamata laptop, huko ndoa itavunjika.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ni katika kumchunguza tu dearโ€ฆ alitakaga kuniwowa but nikawa simtrust ni kama mambo mengi hivi anajifichia kwenye dini.. nikamwambia anipe nicheze game so nikapitia nilichotaka kupitia nika finalize ni muhuni tu
Ilikuwa zamani saizi nimebadilika ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nime hide file la google photos ili asione changamoto ni pale wanapo tuma notification zina tokea pale juu
Ila ndo asirogwe kuingia umo maana kuna mapicha picha ya TBT toka enzi za college na mademu wa kushato mpaka vitoto vya certificate enz izo fisi kama fisi haswa!!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ