Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Ni wachache sana wasio na magari mkuu.Kwani unafikiri ni mwanaume gani humu JF hana gari zaidi ya mimi na mzabzab ?
PoleNi katika kumchunguza tu dear⦠alitakaga kuniwowa but nikawa simtrust ni kama mambo mengi hivi anajifichia kwenye dini.. nikamwambia anipe nicheze game so nikapitia nilichotaka kupitia nika finalize ni muhuni tu
Mimi ya kwangu ni user friendly kwasababu haina hata passcode ama video na nyimbo za kusikilza wala picha ya mtuKama head inavosoma.....
Binafsi juzi kuna mmama flani wa so Mzee ni kama mshangazi alikuja ofisini kwangu akihitaji nimrekebishie swala fulani.
Sasa swala lenyewe lilikuwa ni app ya mesej ilijiupdate ikaleta features ambazo Maza alikuwa hazipendi sasa kaniachia cm yeye kakaa nje nikairekebisha then akanambia niingie nijaribu kutumia mtu meseji.
Sasa picha linaanza ile nimeingia nikakutana na text kwenye chat ya juu kabisa "leo uninyoe mavuz*, yani alikuwa katumiwa yeye hiyo text.
Nikanogewa nikascrol chini ebwana eeeeeeh!
Sisi vijana tunaigiza, zamani ndo watu walikuwa wanayafaidi mapenzi. Kwa zile chats nilizoziona kwa yule mama asee acheni vijana waangukie kwa mishangazi hata mm yule mama ikitokea nimempata ni lazima nihakikishe namla.
Sasa nikaona kama mesej tu zipo vile vipi watsap na picha chap nikaenda kwenye gallery wazee niishie hapa maana so kwa zile picha na video kitumbua kimepakwa mafuta kinameremeta kidogo nikitupe cha kuku, yule mama mm nitamtafuta anajua wazee nitamtafuta nitafanya kila liwezekanalo nimtembezee gwaji boi. Nikaclear history fasta nikamrudishia simu yake.
Sasa nikawaza hivi in case cm yangu nikajikuta ghafla mtu mwingine anayo katika umiliki wake yani sijafuta wala kuhide chochote ni vitu gani vya aibu atakutana navyo? Nikaamua nije nikuulize nawew mwanaJF.
Duuu poleNimekwisha
Mimi niliachwa kisa natumia jf, nahisi nae ni member mzoefu.Atajua mwenywe bhn, uzuri sina app, huwa naingia kupitia chrome
Du hatariNi wachache sana wasio na magari mkuu.
Leo utaona anatafuta kazi yoyote kule ajira na tenda kesho kutwa anatoa ushuhuda jinsi bodaboda alivyomparua gari yake ππ
Pole
Ilikuwa zamani saizi nimebadilika [emoji23][emoji23]
Naona mnafarijiana na mchungaji wakoπNa mimi nimebadilika [emoji2]