machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,334
- 5,326
Sawa tajiri wa jf
Wewe nae boya sasa elfu 30 kwasiku utamudu nini?Kijana wa miaka 30+ kukosa kumiliki chombo cha usafiri, nyumba au kipato chako kwa siku ni chini ya elfu 30 ni aibu kubwa mno
Ukivuka 30 hutoitwa kijana tena bali utaitwa mzee wa makamo na nguvu za utafutaji zitakuwa zinaelekea ukingoni.
Unakuta mtu ana miaka 35 na zaidi ila anaishi maisha ya kuunga unga ,ni heri hata akose nyumba lakini amepanga na hesabu yake kwa siku inaleta tija kinyume na hapo huyo mtu ni mzigo.
Ushauri wangu ni bora ajinyonge tu huko mbeleni atasumbua watu kwa kuzembea kutafuta vya kwake angali kijana.
Mtoto wa kiume unaletaje zarau na maneno ya shombo kwa wanaume wenzako?Kijana wa miaka 30+ kukosa kumiliki chombo cha usafiri, nyumba au kipato chako kwa siku ni chini ya elfu 30 ni aibu kubwa mno
Ukivuka 30 hutoitwa kijana tena bali utaitwa mzee wa makamo na nguvu za utafutaji zitakuwa zinaelekea ukingoni.
Unakuta mtu ana miaka 35 na zaidi ila anaishi maisha ya kuunga unga ,ni heri hata akose nyumba lakini amepanga na hesabu yake kwa siku inaleta tija kinyume na hapo huyo mtu ni mzigo.
Ushauri wangu ni bora ajinyonge tu huko mbeleni atasumbua watu kwa kuzembea kutafuta vya kwake angali kijana.
Kijana wa miaka 30+ kukosa kumiliki chombo cha usafiri, nyumba au kipato chako kwa siku ni chini ya elfu 30 ni aibu kubwa mno
Ukivuka 30 hutoitwa kijana tena bali utaitwa mzee wa makamo na nguvu za utafutaji zitakuwa zinaelekea ukingoni.
Unakuta mtu ana miaka 35 na zaidi ila anaishi maisha ya kuunga unga ,ni heri hata akose nyumba lakini amepanga na hesabu yake kwa siku inaleta tija kinyume na hapo huyo mtu ni mzigo.
Ushauri wangu ni bora ajinyonge tu huko mbeleni atasumbua watu kwa kuzembea kutafuta vya kwake angali kijana.
Haaa haaa anatukana kimya kimya uyuUtoto raha sana
Anafikilia ni lelemama😂Mleta mada anachukulia maisha simple sana
Kila siku nawambiaga we ukipata shukuru tu.Hamna mjanja WA Maisha, ukipata usione wengine hawana akili.