Kijana wa miaka 30+ kukosa kumiliki chombo cha usafiri, nyumba au kipato chako kwa siku ni chini ya elfu 30 ni aibu kubwa mno
Ukivuka 30 hutoitwa kijana tena bali utaitwa mzee wa makamo na nguvu za utafutaji zitakuwa zinaelekea ukingoni.
Unakuta mtu ana miaka 35 na zaidi ila anaishi maisha ya kuunga unga ,ni heri hata akose nyumba lakini amepanga na hesabu yake kwa siku inaleta tija kinyume na hapo huyo mtu ni mzigo.
Ushauri wangu ni bora ajinyonge tu huko mbeleni atasumbua watu kwa kuzembea kutafuta vya kwake angali kijana.
Usivuke mamba kabla ujatukana mto,kwa mradhi usitukane mamba kabla ujavuka mto,nakumbuka kipindi nikiwa young around miaka 14 nilikuwa nasema nikifikisha miaka25 nitakuwa tajiri hatari,imefika hiyo 25 chapu kama imepulizwa vile,nikasema ikifika 30 nitakuwa na gari na nyumba imepita hiiyo sasa naelekea 34 nipo na life la kawaida bora liende,labda nikuambie mdogo wangu maisha hayana formula na wakati wa mungu ni wakati sahihi sana,kuna watu walikuwa mabillionaire walipokuwa wazee na kuna mabillionaire waliopata pesa wakiwa wadogo sasa hivi ni masikini tena wakutupwa mbaya zaidi ni wazee, usimcheke wala kumkashifu uliyemzidi kipato mamba mdogo wangu unaweza kuamka kesho upo maututi kitandani na hizo pesa zikaisha kukuhudumia na ukalala kitandani na pararazzi la mda mrefu.
Ngoja nikueleweshe kitu una mind set ndogo sana na uelewa wako kama wa siafu japo hata siafu wamekuzidi maana wanajua kumlinda malikia wao.life is not about money broo life is about how you survive,happy and joyfully,pesa ni leisure ya mda mfupi leo unayo kesho hauna,hao unaowacheka sasa masikini kesho utawaita boss,kuna usemi unasema usimcheke mtu ili hali anapumua,MUNGU anaweza akafanya nyuma geuka ohhhh.
Alafu hizi Mali,majumbaa na pesa tutaziacha hapa hapa labda niambie labda sijui Reginald mengi kazikwa na pesa??mfalme suleiman kazikwa na pesa je mansa mussa ndo billionaire hakuwahi kutokea hapa duniani kazikwa na dhahabu??najua wewe mtoto unakuendesha nakumbuka kipindi namkuta baba kajishika tama nilijua nipozi tu kumbe mawazo sasa wewe kua uyaone.
1. “Maskini leo, tajiri kesho. Wewe utakuwaje?”
2. “Kucheka maskini ni kushusha heshima yako mwenyewe.”
3. “Umasikini si ugonjwa, bali dharau ndiyo ugonjwa wa moyo.”
4. “Maskini ana matumaini ya kuinuka, lakini mwenye dharau hana tiba.”
5. “Kesho unaweza ukawa unamwomba huyo unayemdharau leo.”
6. “Kiburi ni maskini wa akili, hata kikiishi kwenye nyumba ya kifahari.”
7. “Usimcheke maskini, maana hata Yesu alizaliwa katika zizi la ng’ombe.”
8. “Umasikini si aibu, bali dharau ndiyo aibu ya kweli.”
9. “Kucheka shida ya mtu ni kuomba shida yako ionekane hadharani.”
10. “Maskini hana mali, lakini ana roho ya kuendelea kuishi. Je, wewe una nini?”
11. “Mali hukimbia, lakini utu hubaki.”
12. “Mtu wa dharau hufa maskini hata akiwa na mamilioni.”
13. “Usimcheke anayepita chini, maana kesho anaweza akakupita juu.”
14. “Maskini ni somo la uvumilivu, matajiri wa dharau ni somo la kiburi.”
15. “Kucheka maskini ni kuonyesha kwamba akili yako haina thamani.”