Ni aibu kijana wa miaka 30+ kukosa nyumba, gari na kipato cha kueleweka

WAKUU tupeane madili tusisimangane WAKUU nioeni madili WAKUU ukipata inshu yoyote nistue huto juta sijuagi KUKATA HALI mbaya kikao cha matajiri WA ccm juzi wameni sanua SANA KICHWANI tupambane WAKUU mwenyezi MUNGU atusimamie . Amin


Full stop, kwishaaa
 
Sisi maskini mfariji wetu ni kaburi,nyie na sisi wote tunachimbiwa chini,mimi nikimuona tajiri nasema ana tofauti gani na mimi mbona wote tunakufa
 
Wewe nae boya sasa elfu 30 kwasiku utamudu nini?
 
Ni kweli ukiwa na hivyo vitu unaweza kuwa na raha moyoni, lakini zipo changamoto za kiafya, mahusiano n.k zinazoweza kukufanya ufikirie upya vipaumbele katika maisha yako wewe kijana wa 30's.
 
Mtoto wa kiume unaletaje zarau na maneno ya shombo kwa wanaume wenzako?
Hio ni sifa za kike kike
 
Maisha siyo rahisi ata kidogo, ukijuwa kuwekeza ukiwa na umri mdogo basi utafanikiwa ukiwa bado kijana, tofauti na hapo utakuwa mtumwa wa biashara na ajira yako mpaka unakufa,sasa utakuwa umekuja kufanya nini duniani? Umeishi lini?
 
............matako hulia mbwata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…