Ni aibu kubwa kwa askari wa jeshi kupanda daladala za jerojero

Ni aibu kubwa kwa askari wa jeshi kupanda daladala za jerojero

Lawama zote hizi wapewe mbogamboga, halafu cha ajabu wamekaza fuvu kuwananga vijana wanaowapigania masirahi na mishahara minono, kama hao watikisa viliba tumbo wanaoshinda wamekaa maofisini.
 
Mfano jeshi kwenye kitengo cha wana anga wangepanda chopa naona ziIikuwepo nyingi kuelekea D9🐼
 
Askari unapandaje daladala za jerojero?? Umeshindwa hata kununua ka IST asee .

Unatoka umepiga zako kumbati unaingia kwenye daladala za kulipia jerojero ni aibu.
Mtoa mada wewe ni jinsia gani.
Kama ni wakike sawa ila kama ni wakiume hakika unamushikeli.
Mwanaume unazungumzia neno "AIBU" kweli. Askafulilah

Mwanaume unaleta hisia kwenye maisha yako.
 
Askari unapandaje daladala za jerojero?? Umeshindwa hata kununua ka IST asee .

Unatoka umepiga zako kumbati unaingia kwenye daladala za kulipia jerojero ni aibu.
Hivi huwa wanalipa kwenye daladala? Hakuna watu walio na shida kama polisi! Wanajeshi angalau vijana wengi wana IST, Raum, Spacio n.k. Ila tuwapongeze polisi wanapunguza msongamano.
 
Tena hata kupanda daladala hawastahili wenyewe si wakakamavu kwanini wasitembee?
 
Back
Top Bottom