Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Hii ya leo hakika bwana Waziri Nchemba ni zaidi ya utovu wa nidhamu kwa walipa kodi!
Unatoa wapi uthubutu wa kudai Serikali ndiyo hulipa madeni na si wananchi?!
Kwamba bila kodi ya wananchi Serikali bado ingeweza kulipa deni?!
Hii ni zaidi ya dharau kutoka kwa mtu aliyeshiba.
Ukweli ni kwamba kodi anayolipa Mwananchi ndiyo hulipa madeni.