Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Mzee utakuwa na matatizo ya akili siyo bure!! Unahitaji msaada ,haiwezekeni nyuzi zako zote ni kupinga kila kitu!!Roho mbaya,uchoyo,husuda,chuki,kiburi,majivuno,dharau,gubu n.k hivi vyote akiwa navyo mtu mmoja kama wewe ni hatari kwa afya!!!Tafuta tiba haraka sana!!!Hii ya leo hakika bwana Waziri Nchemba ni zaidi ya utovu wa nidhamu kwa walipa kodi!
Unatoa wapi uthubutu wa kudai Serikali ndiyo hulipa madeni na si wananchi?!
Kwamba bila kodi ya wananchi Serikali bado ingeweza kulipa deni?!
Hii ni zaidi ya dharau kutoka kwa mtu aliyeshiba.
Ukweli ni kwamba kodi anayolipa Mwananchi ndiyo hulipa madeni.
Mama amesema watalipa wanainchiAcha ujuajia kaka, serikali ni ya Wananchi. Wanaolipa Kodi ni serikali kwa niaba ya Wananchi. Wanaokopa pia ni serikali kwa niaba ya Wananchi. Alipoelezea mambo haya ya madeni, alisema serikali inapokopa haiweki Bondi Wananchi. Kwa hiyo bado Dr. Mwigulu yuko sahihi.
Naongezea, Marekani wanapoletaga misaada yao iliyoandikwa "Kwa Msaada wa Watu wa America" hao watu ndio wanaletaga misaada au Serikali yao?Acha ujuajia kaka, serikali ni ya Wananchi. Wanaolipa Kodi ni serikali kwa niaba ya Wananchi. Wanaokopa pia ni serikali kwa niaba ya Wananchi. Alipoelezea mambo haya ya madeni, alisema serikali inapokopa haiweki Bondi Wananchi. Kwa hiyo bado Dr. Mwigulu yuko sahihi.
Zaidi ya 800bil za kodi hutumika kulipa madeni sasa izo ela si zinatoka kwa wananchi au kuna sehemu kuna kibubu wamevunja?Hii ya leo hakika bwana Waziri Nchemba ni zaidi ya utovu wa nidhamu kwa walipa kodi!
Unatoa wapi uthubutu wa kudai Serikali ndiyo hulipa madeni na si wananchi?!
Kwamba bila kodi ya wananchi Serikali bado ingeweza kulipa deni?!
Hii ni zaidi ya dharau kutoka kwa mtu aliyeshiba.
Ukweli ni kwamba kodi anayolipa Mwananchi ndiyo hulipa madeni.