Najua hunijui ndo maana unaongea usiyoyajua kuhusu mimiHawa ni wale madogo ambao wamesota mda sana kitaa. Wamezuzura na bahasha mpaka amebahatika kupata kazi.
Sasa basi mtajuaje zamu yake imefika? Ni kwa kiburi kama hiki ambacho hakina maana kabisa.
Duhh.....Mkuu mbona unanikosea adabu
si katahi icho unacho kisema lakini wew unafikir kwa hyo elfu tano atamudu vipi hali ya maisha think twice braza na wote tukijiajir nani atakaye nunua sasa hizo product ...Mkuu wangu iv wewe kama wewe huwez kujiajiri had uende kwa jemba kuomba kaz mtaji hata elf tano unatosha mkuu
ahaaa hayo ni maarifa yako ndo yamekufikisha apo maisha ni safari ndefu sana yenye kughubikwa na kila aina ya mambo sasa wew waeza ona upo safe place lakin one day utanielewa namanisha k2 gani...Mkuu ni mpambanaji kilimo kimenitoa sana had sasa ninabishara zangu nyingi tu na sijawahi kuomba ujira kwa jemba yoyoye yule
Una maanisha kazi ipi mkuu. Be specifc plsAman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Kumezuka mtindo wa aibu sana siku hizi kwa watoto wa kiume kuomba kaz kwa wanaume wenzao ni aibu kubwa sana mwanaume unaenda kwa mwanaume mwenzio kuomba kaz
Mwanaume hupigana mwenyewe kwa maunjanja yake siyo kusubili kuajiliwa na mwanaume mweziye ni aibu kubwa sana hii kwakweli badiliken bhana wanaume wenzangu kuomba omba kaz kwa wanaume wenzetu sio mpango kabisa
Yaan uko umekaa job ghafla unamuona jemba anakuja kukuomba kaz, bila hata aibu kaka naomba kaz aisee hii ni aibu kubwa sana
Cha ajabu wanaume wengine siku hiz wanaomba kaz had kwa wanawake jaman mtoto wa kiume hebu sturugle mwenyewe achana na habali za kuomba omba kaz huu ni mda wa kujiajili
Nawasilisha
LONDON BABY
'mficha maradhi kifo humuumbua' siku umeombwa hela badala ya kazi utaandika nini?Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana