Ni aibu kubwa sana mwanaume kumuomba kazi mwanaume mwenzio

Ni aibu kubwa sana mwanaume kumuomba kazi mwanaume mwenzio

Hawa ni wale madogo ambao wamesota mda sana kitaa. Wamezuzura na bahasha mpaka amebahatika kupata kazi.

Sasa basi mtajuaje zamu yake imefika? Ni kwa kiburi kama hiki ambacho hakina maana kabisa.
Najua hunijui ndo maana unaongea usiyoyajua kuhusu mimi
 
Mkuu mbona unanikosea adabu
Duhh.....
Naomba uniwie radhi mkuu wangu, siunajua kesho sio siku ya kazi.... sasa nikajikuta naanza matumizi ya soda mweleka mapema....[emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mkuu wangu iv wewe kama wewe huwez kujiajiri had uende kwa jemba kuomba kaz mtaji hata elf tano unatosha mkuu
si katahi icho unacho kisema lakini wew unafikir kwa hyo elfu tano atamudu vipi hali ya maisha think twice braza na wote tukijiajir nani atakaye nunua sasa hizo product ...
 
Mkuu ni mpambanaji kilimo kimenitoa sana had sasa ninabishara zangu nyingi tu na sijawahi kuomba ujira kwa jemba yoyoye yule
ahaaa hayo ni maarifa yako ndo yamekufikisha apo maisha ni safari ndefu sana yenye kughubikwa na kila aina ya mambo sasa wew waeza ona upo safe place lakin one day utanielewa namanisha k2 gani...
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Kumezuka mtindo wa aibu sana siku hizi kwa watoto wa kiume kuomba kaz kwa wanaume wenzao ni aibu kubwa sana mwanaume unaenda kwa mwanaume mwenzio kuomba kaz

Mwanaume hupigana mwenyewe kwa maunjanja yake siyo kusubili kuajiliwa na mwanaume mweziye ni aibu kubwa sana hii kwakweli badiliken bhana wanaume wenzangu kuomba omba kaz kwa wanaume wenzetu sio mpango kabisa

Yaan uko umekaa job ghafla unamuona jemba anakuja kukuomba kaz, bila hata aibu kaka naomba kaz aisee hii ni aibu kubwa sana

Cha ajabu wanaume wengine siku hiz wanaomba kaz had kwa wanawake jaman mtoto wa kiume hebu sturugle mwenyewe achana na habali za kuomba omba kaz huu ni mda wa kujiajili

Nawasilisha

LONDON BABY
Una maanisha kazi ipi mkuu. Be specifc pls
 
'mficha maradhi kifo humuumbua' siku umeombwa hela badala ya kazi utaandika nini?
 
Back
Top Bottom