Ni aibu kubwa sana mwanaume kumuomba kazi mwanaume mwenzio

Shukuru Mungu sn wazazi wako walihenyeka wakatengeneza hicho unayoringia hapo leo. Usitudharau sisi tuliosomeshwa kwa vibarua. Kumbuka waajiri na waajiriwa tunategemeana
 
Ni kazi zipi unaongelea nisije nikaingia mkenge. maana vijana wa Camerun mna mbinu sana
 
Kwani kuna jinsia ngapi kuna mwanaume na mwanamke sasa akaombe wapi? Akili yake hapo ndipo ilipofikia, na wengine wanaomba kazi ili baadae akipata anachotaji afanye mchakato wa kuwa na kazi yake na yeye ataajiri watu..ina maana katika kazi zako wewe mtoa mada hujaajiri?
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Kumezuka mtindo wa aibu sana siku hizi kwa watoto wa kiume kuomba kaz kwa wanaume wenzao ni aibu kubwa sana mwanaume unaenda kwa mwanaume mwenzio kuomba kaz

Mwanaume hupigana mwenyewe kwa maunjanja yake siyo kusubili kuajiliwa na mwanaume mweziye ni aibu kubwa sana hii kwakweli badiliken bhana wanaume wenzangu kuomba omba kaz kwa wanaume wenzetu sio mpango kabisa

Yaan uko umekaa job ghafla unamuona jemba anakuja kukuomba kaz, bila hata aibu kaka naomba kaz aisee hii ni aibu kubwa sana

Cha ajabu wanaume wengine siku hiz wanaomba kaz had kwa wanawake jaman mtoto wa kiume hebu sturugle mwenyewe achana na habali za kuomba omba kaz huu ni mda wa kujiajili

Nawasilisha

LONDON BABY
Wewe jamaa ni kilaza wa karne ya 21
 
Utaeleweka vizuri ukitoa tafsiri ya kazi kwako. Kwangu nilichoelewa katika post yako,kazi ni kutenda ili baada ya tendo ulipwe ujira. Kama ndivyo ulivyomaanisha,je watumishi wetu wa umma wa kada mbalimbali na sekta binafsi huoni kama utakuwa umewadhalilisha? Mfano ukiomba kazi kwenye kampuni,ni sawa na kuomba kwa mwanaume/mwanamke kwani kampuni ilianzishwa na mtu ambaye aliweka mifumo ya kumfanyia kazi.
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Kumezuka mtindo wa aibu sana siku hizi kwa watoto wa kiume kuomba kaz kwa wanaume wenzao ni aibu kubwa sana mwanaume unaenda kwa mwanaume mwenzio kuomba kaz

Mwanaume hupigana mwenyewe kwa maunjanja yake siyo kusubili kuajiliwa na mwanaume mweziye ni aibu kubwa sana hii kwakweli badiliken bhana wanaume wenzangu kuomba omba kaz kwa wanaume wenzetu sio mpango kabisa

Yaan uko umekaa job ghafla unamuona jemba anakuja kukuomba kaz, bila hata aibu kaka naomba kaz aisee hii ni aibu kubwa sana

Cha ajabu wanaume wengine siku hiz wanaomba kaz had kwa wanawake jaman mtoto wa kiume hebu sturugle mwenyewe achana na habali za kuomba omba kaz huu ni mda wa kujiajili

Nawasilisha

LONDON BABY
Mkuu wewe umesahau ulienda kuomba kazi kwa jimama lenye VVU?

Boss wangu ananizidi miaka 7 na nasikia ana ngoma lakin anataka nimuoe
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Kumezuka mtindo wa aibu sana siku hizi kwa watoto wa kiume kuomba kaz kwa wanaume wenzao ni aibu kubwa sana mwanaume unaenda kwa mwanaume mwenzio kuomba kaz

Mwanaume hupigana mwenyewe kwa maunjanja yake siyo kusubili kuajiliwa na mwanaume mweziye ni aibu kubwa sana hii kwakweli badiliken bhana wanaume wenzangu kuomba omba kaz kwa wanaume wenzetu sio mpango kabisa

Yaan uko umekaa job ghafla unamuona jemba anakuja kukuomba kaz, bila hata aibu kaka naomba kaz aisee hii ni aibu kubwa sana

Cha ajabu wanaume wengine siku hiz wanaomba kaz had kwa wanawake jaman mtoto wa kiume hebu sturugle mwenyewe achana na habali za kuomba omba kaz huu ni mda wa kujiajili

Nawasilisha

LONDON BABY
Nimejifunza kitu kutoka kwako.kwamba hujawahi kupata shida ya kukwama kila jambo la muhimu katika maisha yako.jipe muda
 
Ukiendekeza aibu utakuwa maskini to infinity
 
Kweli wewe boya..! So masela wasisaidiane..! Mpuuuzi wa mwaka wewe.
 
Aiseee..
 
Attachments

  • bitmoji-20170705112553.png
    bitmoji-20170705112553.png
    13.8 KB · Views: 21
Back
Top Bottom