Jamii nyingi hazina hii pressure, mnakutana kiukoo kwenye misiba na sherehe, Imeisha hio!!
Kwa upande mwengine sana kuna haka kautamaduni mnakutana wiki hadi mwezi kwa dhumuni la kujuliana hali, kutambulisha wanafamilia wapya, n.k. Na ole wako ukose sasa kwenda kijijini, kelele zinaanza unajitenga sana, kaa huko huko mjini, n.k.
Nyuma ya huu utamaduni huwa kuna kuchorana sana hali za kiuchumi, flani anamiliki nini, flani kaja na gari au treni, flani ana kazi gani, n.k.
Ni furaha kwa waliofanikiwa lakini huwa ni kizimba chamoto kwa wale ambao hali zao za kiuchumi zipo chini
Yaani unaangalia ndugu wote wenye rika mnalofanana wamerudi na mikoko wewe umekuja kwa lift, hizo stress zake zisikiage tu
Shoo inaanzia kwenye vikao, huwaga hakuna maneno mengi sana kama sijui nahsauri kitu flani, mnaonaje tujadili kitu flani, n.k. Yani huwa kuna vitendo tu, Kitu flani kifanyike kitahitajika kiasi flani, hapo ni pesa tu ndio huzungumziwa, usie na pesa unaweza kutamani ardhi ipasuke.
Mnapoona watu wamerudi mjini hawalali mpaka saa nane usiku ukigonga duka unaweza kuuziwa sigara mjue kwamba huko kijijini mambo ni faya