Kwakwel ujinga Ni mzigo 😅😅😅Picha inayosambazwa mtandaoni ikidaiwa kua ni raisi mteule wa senegal enzi hizo akiwa shambani na mke wake.
View attachment 2948551
Kwa akili ya wastani tu hata ukiwaangalia hawa ni qatu wawili tofauti.
Picha ya kijana anaelima ilitumwa mwaka 2021 katika ukurasa wa facebook wa Zambia report, post hiyo yenye picha tatu, utaona kabisa ni mtu tofauti na raisi.
View attachment 2948566
Je kwenye social media post hakuna wahariri?
Kwenye media kubwa wanashindwa hata kufanya image search?
Hii ni aibu
kapime machoMbona mimi naona ni wale wale.
🤣🤣Kama alivyoandaliwa kizimkaziiHawawez kua wao, Raisi haokotwi majararani anaandaliwa na mfumo au watu fulani wenye nguvu kwa vyovyote hawez kua mtu wa dhiki kias iko.
Yaaaah....🤣🤣Kama alivyoandaliwa kizimkazii
Hivi ana vyeti vya udaktari au ni kanjanja tuu? Na serikali nayo imekaa kimya tumi huwaga siwaelew kabsa times hasa wnapomtumia yule sjui anajiita dokta masharubu anaongea vtu vya uongo ilimrqd tu wapate trending
Hata mleta mada hajaleta tofauti za hizo picha.Mbona mimi naona ni wale wale.
Kwamba hapo unataka explanation gani tena? Post ya timea fm iko juu, chini ni post ya huyo jamaa wanaedai ndo raisi wa senegal, huoni kua ni watu wawili tofauti? Au huyo rais wa senegal humjui?Hata mleta mada hajaleta tofauti za hizo picha.
Rais wa Senegal alikuja kwangu juzi!!Kwamba hapo unataka explanation gani tena? Post ya timea fm iko juu, chini ni post ya huyo jamaa wanaedai ndo raisi wa senegal, huoni kua ni watu wawili tofauti? Au huyo rais wa senegal humjui?