Ni aibu kwa chombo cha habari kama Times FM kutuma taarifa za uongo

Ni aibu kwa chombo cha habari kama Times FM kutuma taarifa za uongo

Picha inayosambazwa mtandaoni ikidaiwa kua ni raisi mteule wa senegal enzi hizo akiwa shambani na mke wake.
View attachment 2948551

Kwa akili ya wastani tu hata ukiwaangalia hawa ni qatu wawili tofauti.
Picha ya kijana anaelima ilitumwa mwaka 2021 katika ukurasa wa facebook wa Zambia report, post hiyo yenye picha tatu, utaona kabisa ni mtu tofauti na raisi.

View attachment 2948566

Je kwenye social media post hakuna wahariri?
Kwenye media kubwa wanashindwa hata kufanya image search?

Hii ni aibu
Hivi ni vyombo vya habari exclusively kwa ma-house girls na watu wa uswazi yaani low life. Mtu unayejitambua mambo kama haya unajitafutia mwenye kwenye Internet.
 
Back
Top Bottom