Picha inayosambazwa mtandaoni ikidaiwa kua ni raisi mteule wa senegal enzi hizo akiwa shambani na mke wake.
View attachment 2948551
Kwa akili ya wastani tu hata ukiwaangalia hawa ni qatu wawili tofauti.
Picha ya kijana anaelima ilitumwa mwaka 2021 katika ukurasa wa facebook wa Zambia report, post hiyo yenye picha tatu, utaona kabisa ni mtu tofauti na raisi.
View attachment 2948566
Je kwenye social media post hakuna wahariri?
Kwenye media kubwa wanashindwa hata kufanya image search?
Hii ni aibu