Ni aibu kwa Media, Waziri na Wachambuzi wa Michezo kutoa maamuzi Goli la Yanga bila kujiridhisha

Kaka ulisoma shule gani hujui hata centimita 30 inafananaje na upo humu??
kama hujui kushirikisha ubongo wako uwe unasema ueleweshwe kwa hoja sio ku attack mtu sawa? Twende taratibu umbali wa kutoka kwenye mstari wa goli mpaka kwenye nyavu parpendicular distance ni cm 240, upana wa kioo cha smart phone yako ni cm 5.7 kwahiyo ukiona mpira umeingia kwa ndani ya goal kwa umbali wa cm 1.5 kutoka kwenye mstari wa nyavu hapo umeangalia kwa smartphone yako ni sawa na cm ngapi kwenye uwanja kwa vipimo halisi? Jibu swali bwana kashande
 
Camera zipo nyingi sana pia VAR haikutumika hata hiyo video iliyopo inaonyesha mpira ulivuka zaidi ya cm 30 kutoka kwenye goal line pengine labda wewe unavideo yako peke yako
Hizo 3ocm umizipataje
 
Hesabu za wapi hizi ?
 
Hesabu za wapi hizi ?
unazijua hesabu za kutafuta umbali kwenye ramani kwa kutumia uzi na rula zile mlifundishwa form three? Unajua maana ya scale? Viwango standards kutoka kwenye mstari wa goli la mamelod hadi kwenye nyavu ni 2.4metre sawa na 240cm hivyo kwa mkapa hivyo hivyo old traford ni standard, smart phone nyingi zina width ya 5.7cm .. Kwa ile video mpira ulivuka mstari kwa kutumia simu yako pima umbali kwa macho au rula kisha kadiria ni milimetre ngapi kisha zigeuze ktk cm then piga hesabu.. Wengi mnashangaa kwa sababu mlikuwa mkifundishwa darasani mnasema zinatusaidiaje kwenye maisha ? Hasa hasa zile hesabu za umri za shule ya msingi ungekuwa unazijua kila kitu nmekuwekea ungekua ushaelewa
 
Kama ingekuwa rahisi kama alivyoandika hapo, basi pasingekuwepo na haja ta goal line technology
unaweza kutuelezea mechanism behind hiyo technology? Kwa taarifa yako hiyo techoology inatumia hesabu kama calculator na haituzii sisi kuchambua kwa kutumia manual method wewe unadhani hiyo technology inasimama pembeni ya kipa?
 
Acha mambo ya uongo uongo
 
Yanga wanajificha kwenye kivuli cha goli ambalo ata mpigaji mwenye hakua na uhakika kama limeingia wanasahau kua mechi iliishia kwenye penati.ni mjinga peke yaje atakayekomalia goli wakati mpira ulichezwa kwa dakika zaidi ya 30 zingine na hatimaye penati.Hatujielewi ndo maana tunakua na huu mjadala.
 
Kwani ni lazima lisiwe goli? Liwe goli tu halafu Yanga wawe wameonewa, so? Ni mara ya kwanza mchezo wa soka kuwa na matokeo yenye utata? Itakuwa mara ya mwisho? Kelele zinakuwa nyingi hadi inakuwa kama ujinga sasa.
 

Walimu wote wa Mathee mtusamehe bado kwenye mathee hatujafika popote...! Si mnaona jinsi tunavyojadiliana? Tupo kama mazuzu.!

Smartphone ipi...kishikwambi au ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…