unazijua hesabu za kutafuta umbali kwenye ramani kwa kutumia uzi na rula zile mlifundishwa form three? Unajua maana ya scale? Viwango standards kutoka kwenye mstari wa goli la mamelod hadi kwenye nyavu ni 2.4metre sawa na 240cm hivyo kwa mkapa hivyo hivyo old traford ni standard, smart phone nyingi zina width ya 5.7cm .. Kwa ile video mpira ulivuka mstari kwa kutumia simu yako pima umbali kwa macho au rula kisha kadiria ni milimetre ngapi kisha zigeuze ktk cm then piga hesabu.. Wengi mnashangaa kwa sababu mlikuwa mkifundishwa darasani mnasema zinatusaidiaje kwenye maisha ? Hasa hasa zile hesabu za umri za shule ya msingi ungekuwa unazijua kila kitu nmekuwekea ungekua ushaelewa