Ni aibu kwa Media, Waziri na Wachambuzi wa Michezo kutoa maamuzi Goli la Yanga bila kujiridhisha

Mpira ni kitu cha Duara hivyo unapotua chini ni sehemu ndogo tu ya mpira inagusa ardhi sehemu kubwa inakuwa hewani .

Kwa maana nyingine ukiwa upande mmoja unaweza ona mpira umevuka lakini ukiangalia kutoka juu ukawa bado haujavuka wote .

Na kwa maana rahisi ni kwamba VAR pia haiwezi kuwa sahihi sana pia ila ni GOAL LINE TECHNOLOGY tu ndio yenye uhakika kwa hapa .

Waziri, Wachambuzi wameconclude moja moja kuwa ni Goli

Yanga nao kwa haraka haraka wamejirizisha ni goal kwa kutumia video na image chache tu

Kulingana na Experts wa VAR Jerome Damon ..“Without GLT (Goal line technology) it’s impossible for VAR to say goal or no goal – one can speculate either way but cannot be 100% sure,” .

Hapa tumekosa
1.Goal line technology kitu ambacho ni muhimu
2.hatuna hata videos ambazo zinaonesha mpira katika pembe tofauti tofauti
View attachment 2956186
Hapa video ya juu ina angle tofauti inaonesha mpira vizuri goli letu halina

View attachment 2956187
Hapa technology imetumika
Na ni bora siasa isiingilie Mpira​
Makolo tulia wewe umepigwa nje ndani kwahy huna justification ya maana subiri uamuzi wa malalamiko yaliyowasilishwa,kwahy unadhani unataka kuwanyima haki watu kuongea kile kilichoonekana,acha ujinga kitulize
 
Mnajisumbua tu, haijawahi tokea matokea yakabadilishwa, kama kuonewa we sio wakwanza Kuna game ya waydad vs esperance, waydad alipata goal la halali, lilikataliwa wakagomea mechi fainali na hawakusikilizwa, VAR za afrika ni madudu matupu tu
 
Acha mahaba ya kijinga, hujui football kiujumla zaidi ya kua na ushabiki wa kupindukia wa nyuma mwiko.
Sawa mkuu, mfatiliaji mahiri wa mpira unayeuliza imewezekanaje mpira urudi ndani ya uwanja bila kugusa nyavu 😂
 
Mpira ni kitu cha Duara hivyo unapotua chini ni sehemu ndogo tu ya mpira inagusa ardhi sehemu kubwa inakuwa hewani .

Kwa maana nyingine ukiwa upande mmoja unaweza ona mpira umevuka lakini ukiangalia kutoka juu ukawa bado haujavuka wote .

Na kwa maana rahisi ni kwamba VAR pia haiwezi kuwa sahihi sana pia ila ni GOAL LINE TECHNOLOGY tu ndio yenye uhakika kwa hapa .

Waziri, Wachambuzi wameconclude moja moja kuwa ni Goli

Yanga nao kwa haraka haraka wamejirizisha ni goal kwa kutumia video na image chache tu

Kulingana na Experts wa VAR Jerome Damon ..“Without GLT (Goal line technology) it’s impossible for VAR to say goal or no goal – one can speculate either way but cannot be 100% sure,” .

Hapa tumekosa
1.Goal line technology kitu ambacho ni muhimu
2.hatuna hata videos ambazo zinaonesha mpira katika pembe tofauti tofauti
View attachment 2956186
Hapa video ya juu ina angle tofauti inaonesha mpira vizuri goli letu halina

View attachment 2956187
Hapa technology imetumika
Na ni bora siasa isiingilie Mpira​
Hiyo video uliyoiweka hapa inaonesha mpira ulivuka goal line kwa asilimia mia moja. Sasa sijui unaongea kipi cha kujiridhisha
 
Kaka 30cm unazijua kweli, ni urefu wa rula za shule huo, swali la msingi ule mpira ulitokaje nje
Huyo akili hana, angekuwa anatumia hata knowledge ndogo tu ya motion ya physics form 2 angejua kwamba kitendo cha mpira kupigamlingotu halafu ukadunda chini kwa kunyooka horizontally kisha kisha ukaelekea tena juu hivyo hivyo horizontally kwa nje, tafsiri yake ni kwamba hata kwenye mlingoti huo mpira haikupiga upande wa ndani bali nje ya mstari

Natamani watu wafikirie ni kwanini wachezaji wa al ahly goli la kwanza mpira uliingia na wakaona umeingia lakini hawakuanza kushangililia bali ulivyorudi nje wakandamiza tena ukakaa wavuni, hawakuwa na ushamba wa kuanza kushangilia ili kuepuka utata kama huu, wanga walipaswa kupambana kuurudisha ule mpira nyavuni badala ya kuamini kuwa ni goli na kumuachia refa amalize kazi

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Makolo tulia wewe umepigwa nje ndani kwahy huna justification ya maana subiri uamuzi wa malalamiko yaliyowasilishwa,kwahy unadhani unataka kuwanyima haki watu kuongea kile kilichoonekana,acha ujinga kitulize
Kwa hiyo akili yako inakutuma kwamba uamuzi utakuwa yanga aende nusu?

Mnazidiwa weledi mpaka na kamera sugar waliowafunga msimu uliopita, mpira ukajaa nyavuni kwenu lakini refa akasema ni kona. Hawakulalamikankwa sababu kisheria malalamiko hayabadirishi matokeo

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Pumbavu ,mnajaza servers Tu humu kwa mada zenu za kipumbavu na ushabiki maandazi wa timu zenu za misukule hizo simba na yanga

Mnashindwa kujadili mambo ya muhimu yanayogusa nchi na maisha ya watu ,mnakesha kuzungumzia mavi

Ndio maana ccm inaendelea kutawala taifa la misukule na wapumbavu hili miaka na miaka .
Vichwa vikubwa akili kamasi .

Stupid kabisa
 
Bwana mdogo mi nilianza kumpenda mpira alafu yakafata mahaba na timu.
Embu tizama hii pic.
Kama ungeshika goal line basi wakati wa kurudi ungedunda tena katika besela.
Ila ulivyorudi nje ulipitiliza haukudunda besela.
Screenshot_2024-04-06-13-02-12-00_6012fa4d4ddec268fc5c7112cbb265e7.jpg
 
Pumbavu ,mnajaza servers Tu humu kwa mada zenu za kipumbavu na ushabiki maandazi wa timu zenu za misukule hizo simba na yanga

Mnashindwa kujadili mambo ya muhimu yanayogusa nchi na maisha ya watu ,mnakesha kuzungumzia mavi

Ndio maana ccm inaendelea kutawala taifa la misukule na wapumbavu hili miaka na miaka .
Vichwa vikubwa akili kamasi .

Stupid kabisa
Kila kitu kina nafasi yake mzee.
Kila kitu hupewa muda wake,kuwa na mambo mengine haimaanishi tusijihusishe na burudani zingine.
Kuna thread nyingi humu JF,kama hii haijakupendeza timka.
Usituletee usiku mchana wote huu shabbash.
Weekend hii watu wamepumzika.
 
Huyo akili hana, angekuwa anatumia hata knowledge ndogo tu ya motion ya physics form 2 angejua kwamba kitendo cha mpira kupigamlingotu halafu ukadunda chini kwa kunyooka horizontally kisha kisha ukaelekea tena juu hivyo hivyo horizontally kwa nje, tafsiri yake ni kwamba hata kwenye mlingoti huo mpira haikupiga upande wa ndani bali nje ya mstari

Natamani watu wafikirie ni kwanini wachezaji wa al ahly goli la kwanza mpira uliingia na wakaona umeingia lakini hawakuanza kushangililia bali ulivyorudi nje wakandamiza tena ukakaa wavuni, hawakuwa na ushamba wa kuanza kushangilia ili kuepuka utata kama huu, wanga walipaswa kupambana kuurudisha ule mpira nyavuni badala ya kuamini kuwa ni goli na kumuachia refa amalize kazi

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
unatumia physics kama siasa hauja wahi kuona mpira umedundia ndani na ukatoka nje kupitia kweye post ya juu?
 
Mpira ni kitu cha Duara hivyo unapotua chini ni sehemu ndogo tu ya mpira inagusa ardhi sehemu kubwa inakuwa hewani .

Kwa maana nyingine ukiwa upande mmoja unaweza ona mpira umevuka lakini ukiangalia kutoka juu ukawa bado haujavuka wote .

Na kwa maana rahisi ni kwamba VAR pia haiwezi kuwa sahihi sana pia ila ni GOAL LINE TECHNOLOGY tu ndio yenye uhakika kwa hapa .

Waziri, Wachambuzi wameconclude moja moja kuwa ni Goli

Yanga nao kwa haraka haraka wamejirizisha ni goal kwa kutumia video na image chache tu

Kulingana na Experts wa VAR Jerome Damon ..“Without GLT (Goal line technology) it’s impossible for VAR to say goal or no goal – one can speculate either way but cannot be 100% sure,” .

Hapa tumekosa
1.Goal line technology kitu ambacho ni muhimu
2.hatuna hata videos ambazo zinaonesha mpira katika pembe tofauti tofauti
View attachment 2956186
Hapa video ya juu ina angle tofauti inaonesha mpira vizuri goli letu halina

View attachment 2956187
Hapa technology imetumika
Na ni bora siasa isiingilie Mpira​
Hata wewe kinachomifanya uongee haya ni ushabiki wa Simba. Huna lolote la maana ulilosema zaidi ya unazi.
 
Kaka 30cm unazijua kweli, ni urefu wa rula za shule huo, swali la msingi ule mpira ulitokaje nje
tutumie nadharia yako kuwa mpira ni duara ukijigonga chini ni ngumu kudunda kwa style ile, je hujui kuwa uwanja unanyasi bandia uwanja sio sakafu kama ulivyo asume pia lile eneo hukanyagwa mara kwa mara huoni kuwa kuna possibility ya ground kubonyea na kutengeneza curve? Mpira ule uliingia zaidi ya 30 cm pia consider force ya shuti lilo pigwa
 
Camera zipo nyingi sana pia VAR haikutumika hata hiyo video iliyopo inaonyesha mpira ulivuka zaidi ya cm 30 kutoka kwenye goal line pengine labda wewe unavideo yako peke yako
Huyu anavideo yake,
Mpira haukugusa goal line,
Umedunda ndani ya goal .
Hilo goal lilikuwa halali.
 
Makolo tulia wewe umepigwa nje ndani kwahy huna justification ya maana subiri uamuzi wa malalamiko yaliyowasilishwa,kwahy unadhani unataka kuwanyima haki watu kuongea kile kilichoonekana,acha ujinga kitulize
Relax
 
Back
Top Bottom